Uliwahi kupigiwa story gani ya “chumvi nyingi” kuhusu wanajeshi wetu wa JWTZ?

Uliwahi kupigiwa story gani ya “chumvi nyingi” kuhusu wanajeshi wetu wa JWTZ?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Me nilishawahi kuambiwa, Jenerali Mboma wakati wa vita vya Kagera, aliingia jijini Kampala na fighter jet za JWTZ akafanya sana vurugu na kuzua taharuki kubwa.

Jeshi la Uganda likajibu kwq kumkimbiza mpaka Dar Es Salaam lakini hawakumpata😂

Karibuni mtiririke kamba na chai mlizopigwa kuhusu wanajeshi na jeshi letu la jwtz huko vijiweni?
 
Kwamba JWTZ iliwaua waandamanaji wasio na hatia siku ya oktoba 29, 2025
 
Back
Top Bottom