Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #21
leka une nikamile imibhalagha...mweh!
Kwenda zako, wenye majigambo ni wafuga mifugo
Mtu anafanya research ya ndoa 3, anakuja kuleta conclusion!
Hujanishawishi
Yericko Nyerere naona leo umeamka na watani zako wahaya.
Nikaashumire mpaka oxfordii, aseee akajange aka.Nimeshuhudia ndoa yenye kuwaunganisha watu hawa wawili maarufu kwa majigambo Tanzania,
Mke akiwa Mhaya, Mme awe Mnyakyusa, yaani utafurahii kuona video ya mkandara bila kiingilio!
Wanajua kutamba hata kama hawana mia mfukoni!
Kw
aujumla ndoa ya hawa watu ni burudani sana kuiangalia!
Nikaashumire mpaka oxfordii, aseee akajange aka.
wazima nyie mtaa huu??