Uliwahi kushuhudia ndoa ya Mhaya na Mnyakyusa?

Uliwahi kushuhudia ndoa ya Mhaya na Mnyakyusa?

Mtu anafanya research ya ndoa 3, anakuja kuleta conclusion!
Hujanishawishi
 
Nimeshuhudia ndoa yenye kuwaunganisha watu hawa wawili maarufu kwa majigambo Tanzania,

Mke akiwa Mhaya, Mme awe Mnyakyusa, yaani utafurahii kuona video ya mkandara bila kiingilio!

Wanajua kutamba hata kama hawana mia mfukoni!

Kw
aujumla ndoa ya hawa watu ni burudani sana kuiangalia!
Nikaashumire mpaka oxfordii, aseee akajange aka.
 
He he he, I can not imagine. Je uliishajiuluza kuhusu ndoa ya Mhaya na Mchaga?? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji106][emoji108]
 
Hebu leteni angalau kamkanda ambao hatujawahi kuwaona tuwaone!
 
3112e4f0480527b5662623331c7e078c.jpg
 
Back
Top Bottom