Uliwahi kuvamia mtumbwi wa vibwengo kwa kununua gari bila kulifanyia ukaguzi makini, share kisa chako na karaha ulizokutana nazo na ulichojifunza

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Yawezekana:

1. Ulienda kununua bila kupata ushauri kwa mzoefu sababu ulijiamini uzoefu wako unatosha kulikagua gari.

2. hukutaka kumlipa fundi wa kulikagua.

3.ulienda na fundi kulikagua lakini fundi akazibwa mdomo na pesa.

---Ama sababu nyingine unazoweza kuziweka.

Kuwa huru kushare experience yako

Pia waweza kutupa elimu kwa ulichojifunza na umuhimu wake wa vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kununua gari...

Lets gooo!!
 
Hii jamii forums ni zaidi ya tuijuavyo!! Kuna watu wanaishi katika maisha ya wenzao humu kwa kifupi ,mimi mwenyewe nimepigwa ,unafikiri ni muda basi? Si ni juzi tu hapo nikanunua mzoga huo asalaaaleee yule jamaa mchawi goma kulitest safi safi nikalipa fresh kesho yake tu nataka niweke kishoka doooh ngoma kuovertake haiwezi na haina nguvu kabisaa nikajua hapa tayari 😂😂😂
 

Watu wanaugulia chini kwa chini

Alisema Rich mavocco “kuchapiwa ni siri ya ndani” [emoji23]
 
Nilinunua GX100 kumbe ilishapata ajali kibao bila kujua mtoto wa kihindi pale maeneo ya puma kariakooo kumbe anacheza mbio za magari, dadeki ukiangalia tokea mbele kwa mbali unaona goma imepinda, ila engine safi, Bado inadunda
 
umenikumbsuha Gx100 nimelikanyanga natoka airport kwenda tandika midaya usiku na karibia maeneo ya Tazara karibu na mchicha hapo naona mtu kama
anavuka.
Tahamaki huyu hapa nika mkwepa nilishangaa gari imeruka upande wapili.kipindi hiko cha jakaya kabla wajaweka daraja. ila tulitoka wazima ila gari mguu mmoja wa gari ulipata shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…