Uliwahi kuwa Tinnitus na ukapona? Tusaidie njia ulizotumia

Uliwahi kuwa Tinnitus na ukapona? Tusaidie njia ulizotumia

FORBIDDEN HISTORY

Senior Member
Joined
Jul 28, 2024
Posts
125
Reaction score
224
Kuna hii hali masikio kupiga kelele kama vile kengele, muungurumo, etc

Inaweeza kuambatana na masiko kuuma, pressure masikioni, kichwa kuumwa, etc.

Kama uliwahi kupatwa na hili janga ukapona tunaona utusaidie njia ulizotumia.

Karibuni
 
Nunua kuku kienyeji tetea nyama yake ukiibandika motoni bila kuweka maji....ikaushe ikauke mpaka mafuta yajiengue yenyewe
Ahsante boss.

Samahani lakini mkuu, uliwahi tatizo hilo na solutions zikakusaidia?
 
Back
Top Bottom