cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☝️Kama umezaliwa enzi za Kikwete inaweza kuwa ngumu kuwafahamu hawa watu!!
1. Mike Tee a.k.a mnyalu
2. Dudu baya a.k.a dudu zuri
3. Mr Nice a.k.a mzee wa TAKEU style
4. Witnes Masiga wa B lov M
5. Crazy GK
6. Raha P
7. Q chilla
8. Mr Paul
9. Afsa Kazinja
10.....
Unaweza kuendeleza orodha au kutwambia wako wapi hawa watu.
KARIBU SANA
kuna jamaa alikuwa anatumia jina kama lako Mad Max alitoa mojawapo ya albamu bora kabisa na mojawapo ya nyimbo nayoikumbuka ni vitu adimu. yoyote mwenye albamu anichekiEnzi izo nakua, kabla ya kamanda wala Machozi, kuna wimbo ulikua unaitwa "Kifo cha Mpenzi" aisee sijawahi usikia tena, sijui aliimba nani.
Mziki zamani ulikua haulipi kabisa.
Y Tony - Masebene. Mwenye hiyo nyimbo nitainunua kwa elfu10