Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

Chief hozza

Member
Joined
Aug 6, 2023
Posts
6
Reaction score
4
Ndugu wanajamvi,
Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha.

Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna yoyote ile, lengo hasa kufurahishana na kuelimishana
Mfano wangu wa kali na maandishi
1. Don’t judge a book by its cover
2. Akili za kuambiwa..Chang any a na zako
3. Mchumba hasomeshwi
4. Kama mnataka Mali mtazipata shambani
5. Uwezo wa kumpiga na nia na sababu tunayo.

Karibu mtiririke wadau...
 
Back
Top Bottom