Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?

Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?

kuna competent doctor mmoja ameacha kazi na kuamua kuwa mkulima watu hawamuelewi wanamwita chizi
ila tangu ameacha kazi mpaka sasa haujapita mwaka ameshaweza kumiliki mashamba kadhaa ana trkekta la kukodisha na kutumia kwenye shughuli zake na ana scania tayari kwa ajili ya kudistribute bidhaa zake jamaa namuona mbali sana ndani ya miaka mitano ijayo.
 
Ni utumwa sana unashindwa kukaa karibu na familia kisa kazi za watu, ni bora uwe mbali na familia kwa kitu ulichojiajiri mwenyewe kuliko kaz ya kuajiria
Kuwa mbali kwa muda kwa biashara yako ni sawa, lakini kuwa mbali kwa muda wote, kwa ajili ya biashara yako, bado ni sawa na utumwa wa kazi ya kuajiliwa.
 
Nakushauri tafuta course inakayokujengea knowledge ya biashara zaid.Miaka 3 sio mingi wakati unazidi kujenga idea's zaidi ndipo ujiajiri.Utajifunza kutengeneza business plan,Jinsi ya kumanage kodi,utunzaji fedha kitaalam nk. Umesoma combination gn advance

Business plan najua kuandika.

Utunzaji fedha nimeelimika kidogo.

Kuhusu kodi ninasoma UNFAIR ADVANTAGE cha kiyosaki kupata mwanga.

Nimesoma HKL
 
Wakuu mje kunitia moyo. Mimi nimemaliza form six mwaka huu. Ila naona ndoto yangu ya ujasiriamali ni kubwa kuliko kupoteza miaka 3 chuo na kozi zisizona uhalisia.
Find your professional first, its never too late kujiajiri
 
Kujiajiri kuna muda au nafasi yakuweza kufanya hata mengine uliyotaka kuyafanyakuliko kuajiriwa kwani hakuna muda na muda wote unaoutoa kwa mwajiri wako unashindwa fanya mengine hususani ya kifamilia
Kusema ni rahisi sana, iko mbali sana na uhalisia!

Tusiwajaze watu matumaini hewa. Yeye kama ana passion ya kujiajiri aende tu huko ila pia kama anaajirika aende huko pia!

Ingekuwa kuajiriwa ni kubaya leo tungekuwa na maskini wengi kuliko tulionao leo.

Wengi ambao wamejiajiri ni ama hawakuwa na sifa za kiajiriwa katika ngazi aliyoitamania ama waliajiriwa wakapata ajali ktka ajira hizo na hivyo kutumia upande wa pili kujiari.

Ila asikudanganye mtu, kuajiriwa ni poa zaidi ili upatacho ukiweke katika kuajiri wengine.
 
Business plan najua kuandika.

Utunzaji fedha nimeelimika kidogo.

Kuhusu kodi ninasoma UNFAIR ADVANTAGE cha kiyosaki kupata mwanga.

Nimesoma HKL
Mzee hutaki kuwa mwanasheria¿??? Kuna sister wangu alisota 5 yrs bila ajira now kapata ajira ila haihusiani kabisa na taaluma yake
 
Mm niliajiriwa na kampun moja ya internet kama sale, wanilipa vizur sana lakin kazi ilikuwa ngumu sana unatembea kutafuta wateja mwezi mzima bila kupumzika
Nilikaa chini na kutafakar sana kama natafuta wateja kwa nguvu ivi mwisho wa siku wateja wanakuwa wa kampuni so nikifukuzwa kazi basi sipati ela na wateja wote ni mali ya kampuni
Nikaona ni ujinga sana kuwatajirisha watu wengine
Nikaacha kazi na kufungua duka kariakoo kwa ela nilizokuwa napata kwny ile kampun
Now naenda china kila baada ya miezi mwili naela na ninawateja wangu wakununua mzingo ninayoleta na niafurahi coz nitakuwa na wateja hao mpaka uzee na kumwachia mwanagu biashara.
Acha kufanya kazi kwa manufaa ya watu wengine fikir kuhusu ww pia na watoto wako pia
Utakufa masikini coz mtoto wako pia anabidi akaombe kazi pia coz huna ata duka la kumuajir
Wahindi ndio maana wanatuzidi kila siku
Nimesoma Shaban Robert na wahindi kibao lakin hakuna ata moja namuona anaagaika na kazi za watu unaona wanaendesha maoffice ya wazazi wao ama ndugu zao sisi kazi kutafuta kazi
Hapa nilipo hata sijui cheti changu cha degree nimeweka wapi coz nimuda sijawai kukitafuta
Kama miaka mitatu sasa sijawai kukiona coz sina time nacho kabisa
 
Mzee hutaki kuwa mwanasheria¿??? Kuna sister wangu alisota 5 yrs bila ajira now kapata ajira ila haihusiani kabisa na taaluma yake

I am young Entrepreneur.
And i love that.

Time is money.
This is famous adage.

Education is equal to change. But there is different sort of education and ways of acquiring it. Not only in school but also in other vicinity.

I love Entrepreneurship.
I have ideas.
I have desire
I have faith
I have imagination
I have knowledge gained via osmosis.

Bless me to reach my goals.
Which aims to give solution to problems facing our nation.

Thanks Jf
 
Nakushauri Nenda kasome Taaluma yoyote 3 years sio Mingi itasaidia kujua mengi, kukomaa akili upate angalau uzoefu ndipo ujikite kujiajiri.From my experience nlimaliza Chuo Nikiwa na miaka 23 nkakaa mtaani 1 year (uzoefu pia) ntaajiriwa Kazi 3 (uzoefu pia) ambapo 1nilikuwa fired ndani ya probation (uzoefu pia)nyingine Nkawa mfanyakazi bora wa miezi 4(uzoefu pia) ya 3 nkafanya kazi mno nkaambulia disappointment maslahi duni na kuishia kumtumikia kafiri(uzoefu pia)....Ata end nmeamua kufanya Business taratibu Nmeanza nchi za jirani soon ntaanza kuvuka bara..sababu nmepata uzoefu kupitia unemployed,terminated,dissapointment...Nachojivunia ni kimoja tu Nmesaidia na ntaendelea kuwa MZALENDO npitapo..kutokujua mpaka kujua..
 
Mm niliajiriwa na kampun moja ya internet kama sale, wanilipa vizur sana lakin kazi ilikuwa ngumu sana unatembea kutafuta wateja mwezi mzima bila kupumzika
Nilikaa chini na kutafakar sana kama natafuta wateja kwa nguvu ivi mwisho wa siku wateja wanakuwa wa kampuni so nikifukuzwa kazi basi sipati ela na wateja wote ni mali ya kampuni
Nikaona ni ujinga sana kuwatajirisha watu wengine
Nikaacha kazi na kufungua duka kariakoo kwa ela nilizokuwa napata kwny ile kampun
Now naenda china kila baada ya miezi mwili naela na ninawateja wangu wakununua mzingo ninayoleta na niafurahi coz nitakuwa na wateja hao mpaka uzee na kumwachia mwanagu biashara.
Acha kufanya kazi kwa manufaa ya watu wengine fikir kuhusu ww pia na watoto wako pia
Utakufa masikini coz mtoto wako pia anabidi akaombe kazi pia coz huna ata duka la kumuajir
Wahindi ndio maana wanatuzidi kila siku
Nimesoma Shaban Robert na wahindi kibao lakin hakuna ata moja namuona anaagaika na kazi za watu unaona wanaendesha maoffice ya wazazi wao ama ndugu zao sisi kazi kutafuta kazi
Hapa nilipo hata sijui cheti changu cha degree nimeweka wapi coz nimuda sijawai kukitafuta
Kama miaka mitatu sasa sijawai kukiona coz sina time nacho kabisa
umwongea uhalisia sana[emoji123]
 
Wakuu mje kunitia moyo. Mimi nimemaliza form six mwaka huu. Ila naona ndoto yangu ya ujasiriamali ni kubwa kuliko kupoteza miaka 3 chuo na kozi zisizona uhalisia.
Elimu bongo hasa kwa miaka hii haimsaidii chochote msomi zaidi ya kumpa maarifa na certificate hakuna cha ziada,hata ukibahatika kupata hiyo ajira{ambayo nayo utaisotea sana kuipata}utakutana na manano kama mishahara haitapanda huku kile kidogo unacholipwa mkinyang'any'ana na bodi ya mikopo.

Kama umeona kuna fursa yakufanya kwa sasa ifanye kisha utakuja kujiongezea maarifa hapo baadae.binadam kwa kawaida hatujui ni wapi na lini tutafanikiwa so unapopata maono yafanyie kazi.ridhki inapatikana whether una elimu au huna ni jinsi Mungu alivyokupangia.
 
Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;

•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nakushauri Nenda kasome Taaluma yoyote 3 years sio Mingi itasaidia kujua mengi, kukomaa akili upate angalau uzoefu ndipo ujikite kujiajiri.From my experience nlimaliza Chuo Nikiwa na miaka 23 nkakaa mtaani 1 year (uzoefu pia) ntaajiriwa Kazi 3 (uzoefu pia) ambapo 1nilikuwa fired ndani ya probation (uzoefu pia)nyingine Nkawa mfanyakazi bora wa miezi 4(uzoefu pia) ya 3 nkafanya kazi mno nkaambulia disappointment maslahi duni na kuishia kumtumikia kafiri(uzoefu pia)....Ata end nmeamua kufanya Business taratibu Nmeanza nchi za jirani soon ntaanza kuvuka bara..sababu nmepata uzoefu kupitia unemployed,terminated,dissapointment...Nachojivunia ni kimoja tu Nmesaidia na ntaendelea kuwa MZALENDO npitapo..kutokujua mpaka kujua..
safi
 
Vyeti vyangu sijavifungia kabatini,
Vipo mezani kwangu ambapo napanga mipango yangu ya kila siku....kila nikiviangalia napata nguvu mpya ya kufanya zaidi ya ninachofanya.

Asubuhi naviona kabla sijatoka na usiku naviona kabla sijalala.
 
Back
Top Bottom