SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Ukiishi nao vizuri wale wanakupa connections mkuu..Ngoja tupate shuhuda!
Alafu mkuu, unaonekana unapenda sana avatars za Schwarzenegger??..Ngoja tupate shuhuda!
Growing up, nilikuwa napenda sana movie zake. Nilikuwa namkibali sana jamaa.Alafu mkuu, unaonekana unapenda sana avatars za Schwarzenegger??..
inaonekana jamaa anamkubali sana x gavana wa caAlafu mkuu, unaonekana unapenda sana avatars za Schwarzenegger??..
sure kabisa Boss wanguUmri ni namba tu ,ukifika utajua.
Ukiwa na 20 unaona 30 ni umri mkubwa sana ,ukifika 30 unajina mdogo na unafikiri 40 ni umri mkubwa sana ,unafika 40 unajiona bado una umri mdogo ,unaona 50 ni kubwa sana ,unafikia 50 unaona bado umri mdogo ,si umemuona EL Buggati na Zaylissa wanakula bata kwenye bahari? Sasa Manara ni 50 ,Masoud Kipanya 50 ,Zembwela 50 na si umewaona bado energetic? Haya Pata Picha Mama Samia 65 lakini bado ana nguvu.....Wassira 80 kaongezewa majukumu
Cha umuhimu kuomba Mungu akupe afya njema maana ukiwa na afya mbovu at 20s unaweza ukaonekana BABU.
Mkuu hii ni comment yako Bora zaidi tangu jukwaa hili limeanzishwa. Maneno machache ila Yana ukweli kwa 100%Umri ni namba tu ,ukifika utajua.
Ukiwa na 20 unaona 30 ni umri mkubwa sana ,ukifika 30 unajina mdogo na unafikiri 40 ni umri mkubwa sana ,unafika 40 unajiona bado una umri mdogo ,unaona 50 ni kubwa sana ,unafikia 50 unaona bado umri mdogo ,si umemuona EL Buggati na Zaylissa wanakula bata kwenye bahari? Sasa Manara ni 50 ,Masoud Kipanya 50 ,Zembwela 50 na si umewaona bado energetic? Haya Pata Picha Mama Samia 65 lakini bado ana nguvu.....Wassira 80 kaongezewa majukumu
Cha umuhimu kuomba Mungu akupe afya njema maana ukiwa na afya mbovu at 20s unaweza ukaonekana BABU.
Nipo Njiro mida hii. Karibu tupate Heineken..inaonekana jamaa anamkubali sana x gavana wa ca
Duuh mkuu??..Nilikuwa nawakatia pindi na wengine nawafanyia mitihani kwa malipo ya fedha na utamu
Yes. Exactly. Ila ni kuwa makini nao pia..Ukikaa nao vizuri wana experience za kazini utaelewa mengi
ndio hivyo mkuuDuuh mkuu??..