Uliwezaje kuishi na wababa au wamama waliotokea kazini kuja kujiendeleza kimasomo chuo?

Uliwezaje kuishi na wababa au wamama waliotokea kazini kuja kujiendeleza kimasomo chuo?

Umri ni namba tu ,ukifika utajua.

Ukiwa na 20 unaona 30 ni umri mkubwa sana ,ukifika 30 unajina mdogo na unafikiri 40 ni umri mkubwa sana ,unafika 40 unajiona bado una umri mdogo ,unaona 50 ni kubwa sana ,unafikia 50 unaona bado umri mdogo ,si umemuona EL Buggati na Zaylissa wanakula bata kwenye bahari? Sasa Manara ni 50 ,Masoud Kipanya 50 ,Zembwela 50 na si umewaona bado energetic? Haya Pata Picha Mama Samia 65 lakini bado ana nguvu.....Wassira 80 kaongezewa majukumu

Cha umuhimu kuomba Mungu akupe afya njema maana ukiwa na afya mbovu at 20s unaweza ukaonekana BABU.
Afya njema ndio muhimu. Tuangalie tunachokula..mazoezi kwa wingi na bila kusahau kugegeda na kugegedwa
 
Wanakuaga fair sana ila wengine wanakua limbukeni na mademu. Kama kuna mmoja tulisoma naye alikua anawenge sana na madem level of concentration ikawa inapungua. Ila story zake sasa ukiwa bwege anakubeba na uongo.

Sasa naona namimi nitaenda kuwa mtu mzima nayesoma na watoto mwaka ujao nikiingia Post Graduate.
Yes umeandika vema sana mkuu wangu..
 
Kuna jamaa alikuwa soja tumepiga nae bachelor alikiwa na nyota kazaa madem wote chuo wake..ilaaa alikuwaa hana shda ...kuna jmama lenyewe lilikuwa na RAUM class hakuna n bata na VIBENTEN ila likiona mna njaaa linawapakia kwa ndnga ake mbele....IN SHORT IN SERVICE WENG VYUON HAWANAGA NOMA SEMA HUWA N KAMA WAME COME CHUO KU RELAX
 
Hiyo ya kukataa shikamoo ipo hata mtaani DSM.wati hawazitaki kabisa shikamoo.wanapenda waamkiwe mambo?
 
Ngoja kuna mtu anashuhuda wa jinsi anavyososoma na bibi yako mzaa baba pale UD
 
Mwee! Chuoni mie nilikuwa domo zege. Nilikuja gegeda mbususu mwaka wangu wa mwishoooo.
Yani nilifunga goli jioooniiiiiii!!!!
I wish to go back to university.
Wale wamama/wababa wana experience nzuri sana za maisha..
 
(1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed.

(2) Kuna sister mmoja agemate yeye alisaidiwa connection mwaka 2012 akaingia Polisi.

(3) Kuna braza mmoja alitokea NMB yeye alikuja kujiendeleza, alikuwa hapendi shikamoo ilhali alituacha kama miaka 15 hivi. Tulikuwa tunamkwepa discussion groups.

(4) Jamaa yangu alikutana na Mwalimu wake wa Secondary O level darasa moja, chuo kimoja. Wakawa wanaonea aibu..

Kijana mdogo (fresh from school) Uliwezaje kuishi na mibaba/mimama waliokuja kujiendeleza kimasomo chuoni.

~ SIPENDI SIASA ~
Ukitaka uwapige pesa hao in-service, wewe jibidiishe katika assigment na group work, utakula hela zao mana ni wavivu
 
(1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed.

(2) Kuna sister mmoja agemate yeye alisaidiwa connection mwaka 2012 akaingia Polisi.

(3) Kuna braza mmoja alitokea NMB yeye alikuja kujiendeleza, alikuwa hapendi shikamoo ilhali alituacha kama miaka 15 hivi. Tulikuwa tunamkwepa discussion groups.

(4) Jamaa yangu alikutana na Mwalimu wake wa Secondary O level darasa moja, chuo kimoja. Wakawa wanaonea aibu..

Kijana mdogo (fresh from school) Uliwezaje kuishi na mibaba/mimama waliokuja kujiendeleza kimasomo chuoni.

~ SIPENDI SIASA ~
Alooh jamaa aliona alipige lishangazi kavu kavu...hatari mishangazi imejaa umeme ila mitamu hiyooo
 
Kijana mdogo (fresh from school) Uliwezaje kuishi na mibaba/mimama waliokuja kujiendeleza kimasomo chuoni.

~ SIPENDI SIASA ~
Nimemaliza mwaka jana na madogo wenye mindset kama yako, full kujiona watoto yaani nimewaacha kama miaka 4 tu wengine waliochelewa shule tunakaribiana kabisa ila wanafosi kunilinganisha na baba zao.

Na vile nilikuwa najimudu class basi nilikuwa nawazoom tu wanavyowaoshea in service wengine huku mie wakiniogopa na kunishangaa siingii class lakini performance ipo juu siku zote. Ile mindset ya kuwa in service wanahitaji kufanyiwa assignments, kusaidiwa kwenye discussion na kwenye mitihani kwangu ilikuwa tofauti kwani walikuwa wakiniomba nifike discussion na mara nyingi sikuwa nikifika hivyo wakaniona naringa wakati mwenzao nimeenda chuo kupumzika.

Mwanzo nimefika zangu nimechelewa sana karibia test 1 zinaanza, sasa kuna madogo freshers watatu wakaanza mbwembwe za kunifundisha wakiamini sina chochote kichwani, nikawa najisemea mngejua wa kufundishwa na mwanafunzi mwenzie si mimi. Tests zilipoanza kuchanganya mambo yananiendea vizuri madogo wakaanza kunitangazia vita oooh ngoja tukusomee, nikwaambia badala msomee familia zenu mnanisomea mimi ambaye nimeijia cheti tu niondoke nikasote na ya kwangu, baadaye walinizoea wakawa mabest hadi leo hii
 
Alidisco mzee wa watu tukabaki tunacheza sana tukikumbushana story zake.
 
Back
Top Bottom