Uliwezaje kununua gari yako ya kwanza?

Uliwezaje kununua gari yako ya kwanza?

Ingawa maisha hayana formula Kwangu Mimi nilianza kujenga nyumba ndipo mambo ya Magari yalifuata, sometimes maisha Yana Siri kubwa Sana pengine MUNGU atafanikisha mambo yako mpaka ufunge ndoa(sijui kama bado upo Msela au umeoa).

Maisha yetu ya kuungaunga yanahitaji pia na backup ya mke ambaye anashiriki kuleta maendeleo ndani nyumba huku ww mwenyewe ukihangaika na vitu vichache huku ukiendelea kuchanga pesa ya kununua ndinga ...
nakaribisha maswali feyzal
 
Mkuu mimi sijaoa.
Kuhusu kutamani gari kabla ya nyumba kweli kila mtu na mtazamo wake nadhani yote kutokana na mishe ninazo fanya na wakati...ila utuambie ilikuaje yaani ulimpa pesa shemeji au uliweka kwenye mchago wa kitanda?

Maisha hayana formula.... Mimi nilimix mix nilianza mtoto wa kwanza then nkaanza ujenzi nikapata wa pili nikaendelea na ujenzi nikanunua mkweche then nikahamia kibandani..... Ila kuoa mpaka leo mtihani....

Wanaita vululu vululu......
 
Haina jinsi Mkuu utaishi mwenyewe mpaka lini?
 
Mkuu mimi sijaoa.
Kuhusu kutamani gari kabla ya nyumba kweli kila mtu na mtazamo wake nadhani yote kutokana na mishe ninazo fanya na wakati...ila utuambie ilikuaje yaani ulimpa pesa shemeji au uliweka kwenye mchago wa kitanda?
Pesa natunza mwenyewe ingawa na yy ana account yake pia ili uweze kusimamia mambo yako inafaa zaidi uwe na mwenza wako kwasabb hawa viumbe ni baraka sometimes hasa watoto.
Maisha yetu tunafanya dili kuanzia Kwenye mashambani na mjini na biashara tofauti Ila kama utaishi maisha ya kutegemea salary Kwa kipindi hiki cha magufuli ni mtihani....
Watu wengi wanafeli Kwenye biashara pale unafanya kazi za mwisho kusubiri mwisho wa mwezi huku biashara zako umewaachia watu waendeshe hapo lazima utafeli Tu kwasabb biashara inahitajika nidhamu kubwa Sana na usimamizi(management).
Sasa kama wife yupo unamwachia aendeshe huku ukiendelea na kazi yako ya ajira
 
Nimekusoma mkuu.

Biashara zangu mbili ni changa bado sina ubavu wa kuacha ajira..ila kila siku huwa naenda na kupitia mahesabu mambo yakikaa vyema naacha kazi nidili na biashara na huku napiga na taaluma yangu.

Kuna jamaa yangu anapiga mishe za nafaka mwakani nitajitosa huko pia kutafuta hela ya mchuma...
Pesa natunza mwenyewe ingawa na yy ana account yake pia ili uweze kusimamia mambo yako inafaa zaidi uwe na mwenza wako kwasabb hawa viumbe ni baraka sometimes hasa watoto.
Maisha yetu tunafanya dili kuanzia Kwenye mashambani na mjini na biashara tofauti Ila kama utaishi maisha ya kutegemea salary Kwa kipindi hiki cha magufuli ni mtihani....
Watu wengi wanafeli Kwenye biashara pale unafanya kazi za mwisho kusubiri mwisho wa mwezi huku biashara zako umewaachia watu waendeshe hapo lazima utafeli Tu kwasabb biashara inahitajika nidhamu kubwa Sana na usimamizi(management).
Sasa kama wife yupo unamwachia aendeshe huku ukiendelea na kazi yako ya ajira
 
Aisee noma mkuu,,,ila kama uko vyema kiuchumi na umri unasogea hebu fanya uoe boss
Maisha hayana formula.... Mimi nilimix mix nilianza mtoto wa kwanza then nkaanza ujenzi nikapata wa pili nikaendelea na ujenzi nikanunua mkweche then nikahamia kibandani..... Ila kuoa mpaka leo mtihani....

Wanaita vululu vululu......
 
Nilipewa gari na mzazi , badae nikauza na kununua nilitakalo
 
Back
Top Bottom