Yes.Bahati ya mtende hiyo mkuu ni hizi matako ya nyani?
Ingawa maisha hayana formula Kwangu Mimi nilianza kujenga nyumba ndipo mambo ya Magari yalifuata, sometimes maisha Yana Siri kubwa Sana pengine MUNGU atafanikisha mambo yako mpaka ufunge ndoa(sijui kama bado upo Msela au umeoa).
Maisha yetu ya kuungaunga yanahitaji pia na backup ya mke ambaye anashiriki kuleta maendeleo ndani nyumba huku ww mwenyewe ukihangaika na vitu vichache huku ukiendelea kuchanga pesa ya kununua ndinga ...
nakaribisha maswali feyzal
Maisha hayana formula.... Mimi nilimix mix nilianza mtoto wa kwanza then nkaanza ujenzi nikapata wa pili nikaendelea na ujenzi nikanunua mkweche then nikahamia kibandani..... Ila kuoa mpaka leo mtihani....Ingawa maisha hayana formula Kwangu Mimi nilianza kujenga nyumba ndipo mambo ya Magari yalifuata, sometimes maisha Yana Siri kubwa Sana pengine MUNGU atafanikisha mambo yako mpaka ufunge ndoa(sijui kama bado upo Msela au umeoa).
Maisha yetu ya kuungaunga yanahitaji pia na backup ya mke ambaye anashiriki kuleta maendeleo ndani nyumba huku ww mwenyewe ukihangaika na vitu vichache huku ukiendelea kuchanga pesa ya kununua ndinga ...
nakaribisha maswali feyzal
Haina jinsi Mkuu utaishi mwenyewe mpaka lini?Maisha hayana formula.... Mimi nilimix mix nilianza mtoto wa kwanza then nkaanza ujenzi nikapata wa pili nikaendelea na ujenzi nikanunua mkweche then nikahamia kibandani..... Ila kuoa mpaka leo mtihani....
Wanaita vululu vululu......
Pesa natunza mwenyewe ingawa na yy ana account yake pia ili uweze kusimamia mambo yako inafaa zaidi uwe na mwenza wako kwasabb hawa viumbe ni baraka sometimes hasa watoto.Mkuu mimi sijaoa.
Kuhusu kutamani gari kabla ya nyumba kweli kila mtu na mtazamo wake nadhani yote kutokana na mishe ninazo fanya na wakati...ila utuambie ilikuaje yaani ulimpa pesa shemeji au uliweka kwenye mchago wa kitanda?
Pesa natunza mwenyewe ingawa na yy ana account yake pia ili uweze kusimamia mambo yako inafaa zaidi uwe na mwenza wako kwasabb hawa viumbe ni baraka sometimes hasa watoto.
Maisha yetu tunafanya dili kuanzia Kwenye mashambani na mjini na biashara tofauti Ila kama utaishi maisha ya kutegemea salary Kwa kipindi hiki cha magufuli ni mtihani....
Watu wengi wanafeli Kwenye biashara pale unafanya kazi za mwisho kusubiri mwisho wa mwezi huku biashara zako umewaachia watu waendeshe hapo lazima utafeli Tu kwasabb biashara inahitajika nidhamu kubwa Sana na usimamizi(management).
Sasa kama wife yupo unamwachia aendeshe huku ukiendelea na kazi yako ya ajira
Maisha hayana formula.... Mimi nilimix mix nilianza mtoto wa kwanza then nkaanza ujenzi nikapata wa pili nikaendelea na ujenzi nikanunua mkweche then nikahamia kibandani..... Ila kuoa mpaka leo mtihani....
Wanaita vululu vululu......
Inshaa Allah mwaka nijitahidi nioe.... Watoto washaongezekaHaina jinsi Mkuu utaishi mwenyewe mpaka lini?
Bad enough 2020 uchumin umetetereka mpaka hela ya pampas unaisaka kwa udi na uvumba.....Aisee noma mkuu,,,ila kama uko vyema kiuchumi na umri unasogea hebu fanya uoe boss
Wa kishuaNilipewa gari na mzazi , badae nikauza na kununua nilitakalo
Wa kishua
Bado sijajaaliwa kufikia hatua hiyo mzee so sina usemi kabisaTunasubiri mchango wako mkuu