Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Jibu ndo hili, uke mkavu ndo huwa unakuwa hivyo na hapo mwanamke anapata maumivu sana michubuko ya kutosha, Pia hii hutokea kwa walio na magonjwa hasa ya zinaa,
 
That's VAGINAL DRYNESS. Mkuu mfanyie ratiba ya kula zaidi mboga kama BAMIA, mrenda, nyanya chungu, biringanya, avocado's, banana something like this after two or three weeks kitu itakuwa very smooth 😂
Ina maana hamuandai vizuri binti wa watu, au anatumia muda mrefu binti anachoka V inakauka
 
MamaJ tumepeana kabreak flan, Kila nkitaman kuwaletea huo Uzi mambo yanakua mengi, Nshaanza adi kumsahau.
Kwa huo mchanga utarudi tu kwa mama jay muda si mrefu,

Japo hiyo hali hutokea hata kwa mwanamke mgeni wa mapenzi, watoto, kubakwa na asie na msisimko na wewe, ukiingia wewe unakutana na kifusi cha mchanga lakini akipita mwingine anateleza tu,
 
Huo mchanga itakuwa anapenda kwenda beach kucheza mchanga akiwa hajavaa chupi. Mwambie aoshe K unatoka tu ingawa ni mdogo mdogo atumie maji mengi unatoka. Hata miguu huwa unashika. Hiyo issue ndogo sana
 
Ina maana hamuandai vizuri binti wa watu, au anatumia muda mrefu binti anachoka V inakauka
Huyu DeepPond kwa maelezo yake anakutana na hii hali mwanzo kabisa wakati wanatafta kumfunga Diarra goli la kwanza. Ila aangalie pia yawezekana binti anatumia sana pilipili na unywaji wa maji kwake yawezekana ikawa ni kwa nadra sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…