REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Ukiwa mnywaji wa pombe huna kipato kinochoeleweka unaonekana mwehu, so tafuteni pesa vijana, Pombe siyo zambi umaskini ndio unafanya Pombe ionekane mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilianza kunywa pombe baada ya demu niliyempenda kunikataa.Alooooooooo.
Habari za wakati huu wana jukwaa.
Kama kawaida ya watu wengi wamekua wakizifagilia pombe kwamba ni miongoni wa starehe pendwa duniani.
Lakini kwangu mimi ni tofauti maana si mtumiaji wa pombe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kiafya.
Nahitaji uzoefu wenu katika hili.
NB:UKIONA Uzi hauJaKuvuTIa kaa mbali[emoji779][emoji779][emoji779]
Acha tuyakose tu Kibongobongo[emoji57]Nilianza kitambo hicho nikiwa primary, nikapumzika kwa muda mrefu mpaka nilipomaliza form 4 nikawa napiga sikukuu tu.
Nilipomaliza six nikafungulia bomba, sasa ni mnywaji mzuri tu
Pombe tamu jama, msiokunywa mnakosa mengi.