Uliwezaje kwenda ughaibuni?

Uliwezaje kwenda ughaibuni?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
342
Reaction score
626
Uliwezaje kwenda nchi za watu au ughaibuni either kwa ajili ya masomo au masuala binafsi ya kikazi na ni njia gani uliitumia kuamin na kufanikisha mchakato mzima mpaka sasa uko huko?
 
Wakishakuja kuleta mwongozo,
Ni_tag.
 
Wanaotawaza vibibi vya kizungu huko ughaibuni mnaitwa huku.
 
Nilizamia kwenye sehemu wameweka makontena ya sealand walivyotushika wakatuuliza fani nikawaambia mimi ni multipurpose ufundi, upishi vyote naweza wakanipa kazi ya kusafisha cargo holds na wheelhouse kwenye boat

Nilifanya kwa bidii na baada ya trip kazaa wenzangu waliachwa kisiwa cha tuvalu wakaambiwa hio ni adhabu yenu kwa kula chakula chetu bure tusingeshindwa kuwatupa baharini

Kuhusu mimi that's is the story for another day

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mimi mwaka uliopita kabla ya huo wako wa tuvalu ndo nilikua na kaboti kangu kapya nmekanunua nikataka kushindana na meli ya mizigo kuona nani atafika wa kwanza tuvalu....nilifika wa kwanza ila mafuta ya kurudia yalikua machache ndo nkatulia hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Chezea new boat mkuuu

Karibuni tuvalu wajumbe
 
tuvalu ndio wapi?
 
Back
Top Bottom