Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Uliwezaje kwenda nchi za watu au ughaibuni either kwa ajili ya masomo au masuala binafsi ya kikazi na ni njia gani uliitumia kuamin na kufanikisha mchakato mzima mpaka sasa uko huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishakuja kuleta mwongozo,Uliwezaje kwenda nchi za watu au ughaibuni either kwa ajili ya masomo au masuala binafsi ya kikazi na ni njia gani uliitumia kuamin na kufanikisha mchakato mzima mpaka sasa uko huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaotawaza vibibi vya kizungu huko ughaibuni mnaitwa huku.
Sasa mimi mwaka uliopita kabla ya huo wako wa tuvalu ndo nilikua na kaboti kangu kapya nmekanunua nikataka kushindana na meli ya mizigo kuona nani atafika wa kwanza tuvalu....nilifika wa kwanza ila mafuta ya kurudia yalikua machache ndo nkatulia hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilizamia kwenye sehemu wameweka makontena ya sealand walivyotushika wakatuuliza fani nikawaambia mimi ni multipurpose ufundi, upishi vyote naweza wakanipa kazi ya kusafisha cargo holds na wheelhouse kwenye boat
Nilifanya kwa bidii na baada ya trip kazaa wenzangu waliachwa kisiwa cha tuvalu wakaambiwa hio ni adhabu yenu kwa kula chakula chetu bure tusingeshindwa kuwatupa baharini
Kuhusu mimi that's is the story for another day
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
tuvalu ndio wapi?Sasa mimi mwaka uliopita kabla ya huo wako wa tuvalu ndo nilikua na kaboti kangu kapya nmekanunua nikataka kushindana na meli ya mizigo kuona nani atafika wa kwanza tuvalu....nilifika wa kwanza ila mafuta ya kurudia yalikua machache ndo nkatulia hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea new boat mkuuu
Karibuni tuvalu wajumbe
South africa kwa chini pale kuna ka kisiwa kadogoo tupo huku na wadigo kibao tunakula gambe tutuvalu ndio wapi?
kweli inabidi nitembee, fanya mpango wa mwaliko mgosi.South africa kwa chini pale kuna ka kisiwa kadogoo tupo huku na wadigo kibao tunakula gambe tu
Uliwezaje kwenda nchi za watu au ughaibuni either kwa ajili ya masomo au masuala binafsi ya kikazi na ni njia gani uliitumia kuamin na kufanikisha mchakato mzima mpaka sasa uko huko?