Uliye nae siku atakapoondoka ndo utajua thamani yake

Uliye nae siku atakapoondoka ndo utajua thamani yake

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Note;

Mwanamke mheshimu sana huyo mwanaume
Umeolewa naye,haijalishi yeye ni Nani.
Kuwa mnyenyekevu na acha kuonesha kwamba unajua Kila kitu.
Asilimia 90 ya wanawake wanaojua haki zao hawapo katika nyumba za wanaume zao Leo.
Wengi wao wanathibitisha haki zao kwa kutoka kitanda kimoja Hadi kingine...😢

Mume aheshimiwe tu,Mume ndo kichwa Cha nyumba💯💯💯
.
Usimuache Wala kumletea dharau uliyenae ni sawa na kumpa baraka kesho utarudi kwake kwa magoti ukilia ili ufunguliwe mlango.
 
Kuwa na pesa na kutokuwa nazo haimaanishi hazitokuja tena pesa ni sawa maji ya mto ujaa, upungua,ukauka.
Kesho njema ya mtu huwezi ijua.
Kila mtu anakula alichopanda kama ulimnyanyasa mwenzio akiwa hana kitu kesho akipata kitu akakuacha usijilamu ni ile mbegu uliyoipanda imekomaa unaivuna.
 
Wanawake wengi sana wanazipoteza ndoa zao kwa sababu hawataki kutafuta maarifa Pana vitu havitakiwi kabisa mazoea ndoa, kazi, Mungu ukileta mazoea na ndoa utaachika,mazoea na kazi utafukuzwa kila jambo lina kanuni yake ukienda kinyume nalo lazima uvune
 
Asilimia 90 ya wanawake wanaojua haki zao hawapo katika nyumba za wanaume zao Leo.
Wengi wao wanathibitisha haki zao kwa kutoka kitanda kimoja Hadi kingine...😢
.
Ninacho wapendea wao, wako very strong mdomoni, lakini wako very weak moyoni.
Utawakuta kwenye makanisa ya mitume na manabiii makundi kwa makundi,
sio kujitakasa, bali kutafuta kujifariji
 
Ninacho wapendea wao, wako very strong mdomoni, lakini wako very weak moyoni.
Utawakuta kwenye makanisa ya mitume na manabiii makundi kwa makundi,
sio kujitakasa, bali kutafuta kujifariji
Baada ya kuacha gap mume katekwq na mchepuko,every risk is opportunity wananufaisha mitume na manabii
 
Hatima ya maisha yako yako mikononi mwako. Binadamu huja na kuondoka aidha kufa au etc. Usiweke tegemeo kwa kiumbe mwenzio albaye anaweza kubadilika au kupotea kwenye uso wako.
 
Back
Top Bottom