The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Nasema ndoa na sio mahusianoHili nalo si jipya😂😂😂
Sikai kinyonge ili kulinda mahusiano ya kesho, muda wowote kama noma naiwe noma tu!
Kutooa kwako kuna zuia vipi wengine kuoa maana kila mmoja uoa kwa interest zisizofanana na mwingineMmeanza na wakati tulisema hatuoi..!
huzuria vikao kaka mnaturudisha sana nyuma nyinyi!!Kutooa kwako kuna zuia vipi wengine kuoa maana kila mmoja uoa kwa interest zisizofanana na mwingine
Hata nikiumizwa hakuzuii Mimi kupata mtu sahihi wapo wanawake sahihi tu wengihuzuria vikao kaka mnaturudisha sana nyuma nyinyi!!
Ninacho wapendea wao, wako very strong mdomoni, lakini wako very weak moyoni.Asilimia 90 ya wanawake wanaojua haki zao hawapo katika nyumba za wanaume zao Leo.
Wengi wao wanathibitisha haki zao kwa kutoka kitanda kimoja Hadi kingine...😢
.
Baada ya kuacha gap mume katekwq na mchepuko,every risk is opportunity wananufaisha mitume na manabiiNinacho wapendea wao, wako very strong mdomoni, lakini wako very weak moyoni.
Utawakuta kwenye makanisa ya mitume na manabiii makundi kwa makundi,
sio kujitakasa, bali kutafuta kujifariji
Una uhakika cute? 🥴utarudi kwake kwa magoti ukilia ili ufunguliwe mlango.