Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Habari wakuu,
Ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza, kwamba kuna watu wanasema kuacha kazi na kuamua kufanya mambo yako ni kujiingiza kwenye mkenge ambao maisha yako yote utajutia
Najiuliza na ninawauliza watu wenye mentality hii, enzi za ujima (ingekuwa tupo ujimani kwa sasa) hawa watu wangekuwa nani?
1. Wabeba nyama za wawindaji, ili na wao wapate kamgao kao ikifika jioni muda wa kurudi nyumbani?
2. Walinzi wa nyama za wawindaji maarufu katika jamii yao?
3. Waokota matunda na wabeba matunda ya mabwana wakubwa ili nao jioni wapate mgao wao?
4. Watengeneza mitego ya wanyama ili jioni wapate ujira wao?
Najiuliza tu wakuu