Uliyeajiriwa na unaamini maisha bila ajira magumu sana, ungeishi kipindi cha ujima ungekuwa nani?

Uliyeajiriwa na unaamini maisha bila ajira magumu sana, ungeishi kipindi cha ujima ungekuwa nani?

Afu noma inakuja mko sehemu mnapiga story na washkaji wao wanaongelea mishe/biz zao halafu we umekomalia tu kusema boss wangu hivi boss wangu vile daah noma sana,kuna muda unaweza kuhisi mpk mawazo yako kwny group yanachukuliwa poa hahah.

Ndio maana wengine walikimbia huko kitambooooooo.
Shida inakuja unapokua na safari zako,ratiba fulani na inakubidi kuomba ruhusa kwa heshima kwa kidume fulani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima kuna wadau kibao toka miaka ya 2008 nawafahamu hadi leo ni machinga pale mchikichini.
OK kumbe unazungumzia kurelax tu na si kuingiza mkwanja mnene

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wengi munachanganya vitu...sikila aliye jiajiri ana malengo ya mbali wengine just kujipatia pesa za kula na zakawaida tu mtu huyo hadi anazeeka yupo vilevile.

Kuna waliojiajili na kuweka malengo hawa wanachukua muda mchache wanakuwa na uwezo wa ku-lerax na kuingiza pesa mfano MAMA ALASKA, HADIJA JABIR, SIRJEFF, EDWIN BRUNO hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli ujanja nikuingiza pesa ndefu. Mimi binafsi nimejiajiri naninafanya kazi siku 7 katika wiki yaani wiki yote nipo kijiweni kwangu namasaa kwasiku nafanya kazi zaidi yamasaa 12 maana nafungua ofisi saa 2 asubuhi nafunga saa2 usiku ila kipato changu nikidogo hakiendani namda namasiku nayofanya kazi.
Ushajiuliza kwanini kipato chako bado kidogo licha ya kufanya kazi masaa mengi?

Na hpo ofsini kwako unadhani ni kitu gani unaweza boresha kikakuongezea idadi ya wateja zaidi ulionao sasa?

Na km una washindani ushajiuliza kwanini wateja wanaenda kwa mshindani wako na sio kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima kuna wadau kibao toka miaka ya 2008 nawafahamu hadi leo ni machinga pale mchikichini.
OK kumbe unazungumzia kurelax tu na si kuingiza mkwanja mnene

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu biashara mnazifanya biashara kimazoea sana ndyo maana haziendelei. Unakuta biashara ina miaka mitano ipo vile vile, badala ya kutumia faida kuboresha biashara nyie faida yote mnakula, baadaye mnaanza kulalamika biashara ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao walioajiriwa na wanalipwa 1,000,000± ni wachache mno ukilinganisha na waliojiajiri na wanaopata 1,000,000± hapo bado kodi ambazo TRA wanachukua kabla fedha haijatua mikononi mwako. Na wengi (hapa nimesema wengi, siongelei waajiriwa wachache ambao kwa Serikalini wapo kwenye government parastatals) wanaopata hicho kiasi wapo jioni kwenye vibarua vyao hivyo

Kufanya kazi siku 5 kati ya 7 kwa wiki ni kudanganyana, kufanya kazi masaa 8 kati 24 kwa siku ni kujazana uongo. Ukweli ni kwamba walioajiriwa wanafanya kazi zaidi ya muda uliandikwa kwenye makaratasi.

Umeajiriwa unapata hiyo 1,000,000+ kwa mwezi at what expense, kujipendekeza, kudhalilishwa, kusimangwa n.k. Kuna vitu hatuwezi kuvi calculate financially lakini ni gharama kubwa, ikiwamo kukosa furaha

Nakubaliana na wewe cha msingi ni unaingiza kiasi gani, lakini kimoja ninachojua aliyejiajiri ana potential ya kutengeneza kuliko aliyeajiriwa, mlamba miguu wa mabwana wakubwa

Haya ya kudhalilishwa, kusimangwa, nk je yapo kwenye mkataba wa ajira? Nafikiri hata aliyejiajiri huenda yanaweza kumkuta kwa namna nyingi tu hapo tafuta point nyingine
 
Hahah unaongea ukweli boss wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh!

Mosi, hakuna tajiri mwajiriwa, most of them wanaishiaga pabaya wakizeeka ( waajiriwa ) nawaona kitaa!

Huwezi amua chochote, ujira mdogo, kufukuzwa/ kufungwa nje nje! huwezi fanya hata kabiashara, ukilogwa kumuweka mtu unaibiwa! Yaan...

Kujiajiri raha sana japo unahenyeka, but at least unapata peace of mind!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la kuajiriwa nilishakataa,mimi ni mchapa kazi sana so siko tayari kuona natumia ubunifu na uchapa kazi wangu alafu nalipwa robo ya nguvu niliyoiweka,kikubwa wanakula mapimbi fulani huko,then mafao yangu wanitese kama sikufanya kazi..noo way...pia mimi naamua niwe wapi muda gani.

Maisha ni kuchagua,no offense kwa mlioajiriwa naimani kuna faida pia mnazipata,binafsi nilpima hasara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waajiriwa wote ni wavivu simple!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu noma inakuja mko sehemu mnapiga story na washkaji wao wanaongelea mishe/biz zao halafu we umekomalia tu kusema boss wangu hivi boss wangu vile daah noma sana,kuna muda unaweza kuhisi mpk mawazo yako kwny group yanachukuliwa poa hahah.

Ndio maana wengine walikimbia huko kitambooooooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekimbia na wako vizuri kinoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali nijichekeshe kwa mteja wangu coz hiyo ni biashara yangu! Na faida naimiliki on hand

Kuliko kujichekesha kwa boss eti kumfurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata waajiriwa wanaojua kujipendekeza na kujichekesha kama wewe ndo wanaongoza kwa safari za kikazi zenye posho nene, semina zenye mpunga na kupanda vyeo haraka,

Pia hamna mtu anakaa kibwegebwege kama zamani siku hizi, watu ni waajiriwa lakini wanamiliki biashara kama uliyonayo ww.
 
Ingekua hivyo 80% ya wafanyakazi wasingekua wanahangaika na Salary Advance kila mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua hivyo 80% ya wafanyakazi wasingekua wanahangaika na Salary Advance kila mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Salary Advance ni haki yake kwa nini asihangaike nayo?hata wafanyabiashara wanakwepa hata kama ni kodi inayoongezeka kwa buku mbili tu,, mfuta yakipanda bei hata kwa 50 tu utaona vioja vya wafanyabiashara , mwisho nikwambie kujiajiri na kuajiriwa zote ni sources za income no matter what,
 
Ingekua ujasiriamali rahisi kiasi hicho kila mtu angekua bilionea.
Kikubwa tufanye tu tunayoyaweza kila mtu hawezi kujiajiri,wapo pia walioajiriwa pia wamejiajiri.
Ukitengeneza mfumo thabiti, wakati mkwanja unaendelea kuingia, kwanini usi relux

Kama tangia unaanza ujasiriamali unaamka saa 10 alfajiri na kulala saa sita usiku mpaka unastaafu ujasiriamali ratiba yako ni hiyo hiyo, unapaswa kujichunguza na ikibidi upimwe mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima hata bandarini,TRA,jeshini kuna watu wameajiriwa.
Unaweza ukawa umeajiriwa ukawa lecture chuo huna haja ya kujipendekeza kwa yeyote
Unaweza ukawa umeajiriwa ni house girl/boy hapo lazima ujipendekeze
Unaweza ukawa umejiajiri unamiliki supermarket,lakini lazima uajiri wasaidizi.
Unaweza kua ukawa umeajiriwa na umejiajiri.@Diana Spencer,

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom