Hao walioajiriwa na wanalipwa 1,000,000± ni wachache mno ukilinganisha na waliojiajiri na wanaopata 1,000,000± hapo bado kodi ambazo TRA wanachukua kabla fedha haijatua mikononi mwako. Na wengi (hapa nimesema wengi, siongelei waajiriwa wachache ambao kwa Serikalini wapo kwenye government parastatals) wanaopata hicho kiasi wapo jioni kwenye vibarua vyao hivyo
Kufanya kazi siku 5 kati ya 7 kwa wiki ni kudanganyana, kufanya kazi masaa 8 kati 24 kwa siku ni kujazana uongo. Ukweli ni kwamba walioajiriwa wanafanya kazi zaidi ya muda uliandikwa kwenye makaratasi.
Umeajiriwa unapata hiyo 1,000,000+ kwa mwezi at what expense, kujipendekeza, kudhalilishwa, kusimangwa n.k. Kuna vitu hatuwezi kuvi calculate financially lakini ni gharama kubwa, ikiwamo kukosa furaha
Nakubaliana na wewe cha msingi ni unaingiza kiasi gani, lakini kimoja ninachojua aliyejiajiri ana potential ya kutengeneza kuliko aliyeajiriwa, mlamba miguu wa mabwana wakubwa
spleen,