Hivi ni kweli mtu wako wa kwanza uliyeanza nae mahusiano ya mapenzi huwa hamdumu hadi kufikia ndoa?
Ataanza wa kwanza halafu atakayefatia wa 2,3,4.... Ndiye utakayemuoa/atakayekuoa.
Halafu ni kweli watu wanaodumu muda mrefu kwenye uchumba, ndoa zao hazidumu kwa muda mrefu?

You may be right mydear! Tuseme wachumba wa muda mrefu 80% hawaoani....Hivi ni kweli mtu wako wa kwanza uliyeanza nae mahusiano ya mapenzi huwa hamdumu hadi kufikia ndoa?
Ataanza wa kwanza halafu atakayefatia wa 2,3,4.... Ndiye utakayemuoa/atakayekuoa.
Halafu ni kweli watu wanaodumu muda mrefu kwenye uchumba, ndoa zao hazidumu kwa muda mrefu?
Hizo ni fikra zenye matege, every thing is bound to plight and determination!
mmmh! Kazi kwelikweli.
ha ha! nafikiri zina makengeza pia. Lol
mmh i dont think soo wallah maana mimi nimeanza nae wa kwanza na mpaka sasa we are about to get marriedge inshallah na ndoa yetu idumu kwa mapenzi tuliyonayo..
hongera. Nafikiri ukishaolewa na tukapata wengi wa dizaini yako tutaconclude ni uongo.
Ukichukulia kwa ujumla, your falsafa is true kwa 88% . . . . . ila kwa mtu mmoja mmoja its true kwa 55%
mmh i dont think soo wallah maana mimi nimeanza nae wa kwanza na mpaka sasa we are about to get marriedge inshallah na ndoa yetu idumu kwa mapenzi tuliyonayo..
Amina my dear.....Mola akupe hitaji la moyo wako,usiache kunialika.......:laugh:
Mimi ni mtawa,sijui my dear.........:laugh::coffee:
heee michelle huyo akhbar yako... ok ishallah shukran...na mualiko utapata tuu wewe tena???