Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Hivi ni kweli mtu wako wa kwanza uliyeanza nae mahusiano ya mapenzi huwa hamdumu hadi kufikia ndoa?
Ataanza wa kwanza halafu atakayefatia wa 2,3,4.... Ndiye utakayemuoa/atakayekuoa.
Halafu ni kweli watu wanaodumu muda mrefu kwenye uchumba, ndoa zao hazidumu kwa muda mrefu?