Uliyeanza nae hutaendelea nae.

Yeah, u might be right, ila in most case huwa walioanzana hawamalizi vizuri hii ikichangiwa na maisha yenyewe... kuhama hama, shule, kazi na kadhalika... na utoto some times ndio inapelekea hapo.
 

Nadhani kwa kuangalia %ge ukweli ndio huo, ingawa kuna exceptional chache. Sababu inakuwa
1. Wakwanza mnaanza mkiwa na umri mdogo kuoana, hivyo likely kuoana itakuwa ngumu. Mi nilinza kuwa na mpenzi nikiwa na miaka 8, kwa sasa sijui kama yupo au la...

2. Mara nyingi mpenzi wa kwanza mnakuwa kimajaribio zaodo, uchaguzi wa dhati haupo

3. Mapenzi ni sanaa inayohiyaji uzoefu. Kama wewe ni mzoefu, na mwenzako ndo anaanza, kwa vyovyote vile utaona kama anakuboa, unless wachache wanaoamua kuvumilia na kumfundisha

4. Mara nyingi mpenzi wa kwanza unampata shuleni au safarini. mkishatenganishwa na distance, mnasahauliana

5. nk.
 

8years!!! we kiboko. salute mkuu..
 

hapo la 1, miaka 8 au umesahau moja mwanzo?
 
inawezekana kweli ila nashindwa kuelewa inakuwaje unamchoka binadamu mwenzio!
Kwanini hatuwachoki wazazi au ndugu zetu tunawachoka wapenzi wetu! Watu ambao ni wa karibu na tunaweza kushare kila kitu. Nini sababu hapo?
Sababu ni kwamba ni mapenzi tofauti; upendo wa ndugu, rafiki, na wazazi ni tofauti na upendo wa wapenzi wawili..., (ambao mara nyingi huwa unakuwa na, physical attraction, tamaa ya kitu fulani na expectations ambazo mara nyingi sio za kweli) sasa baada ya muda mtu anagundua kuwa alivyotegemea sivyo...., na physical attraction inapungua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…