The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
na wewe uje eeeh.
Nitakuja na apparatus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe uje eeeh.
khaaaaa!
na first aid kit. Mtu akizidiwa apewe huduma ya kwanza.
Hivi ni kweli mtu wako wa kwanza uliyeanza nae mahusiano ya mapenzi huwa hamdumu hadi kufikia ndoa?
Ataanza wa kwanza halafu atakayefatia wa 2,3,4.... Ndiye utakayemuoa/atakayekuoa.
Halafu ni kweli watu wanaodumu muda mrefu kwenye uchumba, ndoa zao hazidumu kwa muda mrefu?
Nadhani kwa kuangalia %ge ukweli ndio huo, ingawa kuna exceptional chache. Sababu inakuwa
1. Wakwanza mnaanza mkiwa na umri mdogo kuoana, hivyo likely kuoana itakuwa ngumu. Mi nilinza kuwa na mpenzi nikiwa na miaka 8, kwa sasa sijui kama yupo au la...
2. Mara nyingi mpenzi wa kwanza mnakuwa kimajaribio zaodo, uchaguzi wa dhati haupo
3. Mapenzi ni sanaa inayohiyaji uzoefu. Kama wewe ni mzoefu, na mwenzako ndo anaanza, kwa vyovyote vile utaona kama anakuboa, unless wachache wanaoamua kuvumilia na kumfundisha
4. Mara nyingi mpenzi wa kwanza unampata shuleni au safarini. mkishatenganishwa na distance, mnasahauliana
5. nk.

hapo la 1, miaka 8 au umesahau moja mwanzo?
Sababu ni kwamba ni mapenzi tofauti; upendo wa ndugu, rafiki, na wazazi ni tofauti na upendo wa wapenzi wawili..., (ambao mara nyingi huwa unakuwa na, physical attraction, tamaa ya kitu fulani na expectations ambazo mara nyingi sio za kweli) sasa baada ya muda mtu anagundua kuwa alivyotegemea sivyo...., na physical attraction inapungua...inawezekana kweli ila nashindwa kuelewa inakuwaje unamchoka binadamu mwenzio!
Kwanini hatuwachoki wazazi au ndugu zetu tunawachoka wapenzi wetu! Watu ambao ni wa karibu na tunaweza kushare kila kitu. Nini sababu hapo?