Uliyechuo take care

Uliyechuo take care

Jorrowe

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
9
Reaction score
5
tunasikitka hapa udsm, 1st yr(boy) mwenzetu kakutwa kajinyonga uck wa kuamkia leo lodge 1 hapa ubungo,inavyosemekana alikuwa anapata raha duniani,cjui ikawaje,tafakari rana
 
Boom limetoka nini? Poleni sana. RIP
 
Sasa raha imekuwa karaha, mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
 
siku hizi kufa ni simpo sana,mm na manyota hatushangia ila Mungu amsaidie huko aendako
 
Sasa raha imekuwa karaha, mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani

Kuna mwanga tena hapa!!! sijui..... ila it is very very sad news! kwa wazazi wake na hata serikali, jamani mapenzi haya
inakuweje, au kuanzishe somo la mahusiano ya kimapenzi na namna ya kuyaendea !!!
 
Take care of your steps,its bitter along the better.
 
tunasikitka hapa udsm, 1st yr(boy) mwenzetu kakutwa kajinyonga uck wa kuamkia leo lodge 1 hapa ubungo,inavyosemekana alikuwa anapata raha duniani,cjui ikawaje,tafakari rana
Sasa hapo chakushangaza ni nn! Yaani yeye mwenyewe, kwa uamzi wake, KAJINYONGA, sasa sis tushangae na kuwa makini kwa lip? Watu bwn! Kama si mpango wa Mungu basi Alale pabaya motoni amina.
 
Back
Top Bottom