Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Kuna jamaa yangu yeye kaoa changu hasa aliyekuwa anajiuza barabarani na wana watoto wa3 sasa, so ni maisha tu,
Labda alimpima kabla hajaamua kwenda naye nyama kwa nyama
kwa vile ww humpendi. basi ukajua na wengine hawampendi.Kwani gift ana mimba?....picha tafadhari....ivi kuna watu wanapiga peku pale.....aisee mi lazima nivae mbili
Wakuu nadhani tumekua watu wa kujudge sana hulka, tabia na uhalisia wa watu kwa kuangalia uchakaramu au yale wanayoonesha katika maisha yao iwe mitandaoni au fani zao... Huyo Gigy umalaya wake mmeupima vipi?hakuna kitu kinauma kama kuzaa na malaya, yaani mtaani wote wanakunyooshea kidole mbaya zaidi unafahamu watu 60 walishapiga ila unaonekana ww tu ndo una akili za kindezi kumwagiamo
Haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaa na jamaa anania ya dhati kabisaHivi ni nani?
Si alisema mwenyewee hajui idadi ya wanaume aliochikichiki nao?Wakuu nadhani tumekua watu wa kujudge sana hulka, tabia na uhalisia wa watu kwa kuangalia uchakaramu au yale wanayoonesha katika maisha yao iwe mitandaoni au fani zao... Huyo Gigy umalaya wake mmeupima vipi?
Kwani Giggy monye hato*b**ki??Ujasiri unatofautiana sana aise, acha kabisa, hii njemba iliyokatia kitu yake mule anaweza fanya lolote duniani!
Afu uckute Gift wa watu yuko salama tuu........smtymz tunajudge mno[emoji37]Kwani gigy Ana matatizo gani mpka mna msakama hivi
Nimekupenda bure mkuuWanaume wengi humu tunapiga kelele weee ya kwao hawayaoni km umalaya wengi wetu ni malaya maana km dem wako hujamkuta bikira ww unazani alijichokonoa ikatoka na ww ulisha wala madem wangap mbona hujisemi kua ni malaya ila gigy tu...Huyo unae muona malaya ndo anaweza akawa mke bora kuliko unaemuona anamaadili..Mimi sioni sababu ya kutoa hukumu ila naomba Mola amsaidie aache tabia mbaya na apate mme atulie
KakanguHivi ni nani?
[emoji33][emoji33]
Uyo atakua wa mkoani...
Nimekumiss
Ha ha ha ha nacheka kwa raha mie
Huyo jamaa ana ujasiri wa kujifunga mabom na kujilipua kama alshabab
Kuzaa na malaya ni kazi nyingine aisee
Mje name huku60 tu? Mia mbili!