Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Kuna jamaa yangu yeye kaoa changu hasa aliyekuwa anajiuza barabarani na wana watoto wa3 sasa, so ni maisha tu,
Mpe pole jamaa yako kwani twajuwa changu kamwe habadiriki kitabia. Atavumilia na kujificha mwanzoni ila mwisho wa siku atarudi kule kule alikotoka kwa sababu hawa watu wamezoea kumwagiwa mbegu na wanaume tofauti, mapenzi hawayawezi hata siku moja.