Uliyempa Gig mimba mungu anakuonaaaa

Wengi hapa mnajitia unafiki tu mara oh gigy sipigi peku mara nyokolo wanafiki wakubwa mnakaza kavu wehu nyie ndo mana maambukizi hayashuki achemi kujifanya malaika hapa malaya mnaopiga wengine ni mbwa huyo gigy akasome ni vile amejitangaza tu maisha yake
 
Acha upumbavu wakuwa mnamfananisha mungu na mambo yakipumbavu.
 
Kuzaa na Gigy money ni kubeba risk kuliko hata kuweka hela kwenye forex trading.

Kwanza ana mdomo mchafu hatari, siku mkipishana kidogo ndani basi Tz nzima watajua, mwanamke wa kudanga ni aibu hata kusema umezaa nae
 
Yule sijui angaza walivyoenda kufungua fail la krinick majibu yapo vp kama kapona kweli ukimwi haupo
 


Apate mume atulie wakati mtu kishaliwa na mijamaa zaidi ya 60. Wewe tu mwenyewe jiulize, unaweza kuoa mwanamke kama Gigi? Machangu hawabadiriki hata iweje, watatulia kidogo then baadaye ile hamu ya mateso inawajia na kurudi mawindoni kujikumbishia zama zao.
 
Tunawaza kijinga, watu hubadilika, na inawezekana walipima na kuamua kufanya hivo, yeye ni mwanamke tena anaweza kuwa bora kuliko aliyekuzaa ama unayemwona wa maana,,,,

Acheni kumdhalilisha Gigy


Changu hafugiki wala habadiliki, never. Wanatulia tu kwa muda then wakiboreka (baada ya kuolewa) wanakosa raha ya maisha na kurudi walikotoka. Mtu aliyezoea mipini ya hajabu hajabu kila kukicha tayari kishaharibika psychologically. Hakuna anayemzalilisha Gigi, ni yeye mwenyewe ndiye anayejihukumu. Hivi kama nduguyo anaoa Gigi na kumpeleka kwa wazazi wako wamuone, unafikiri wazazi wako watasema nini juu yake kwa nduguyo? Naona jibu unalo tayari.
 
Nyie. Acheni maneno kana kwamba mko clean. Kuna lifestyle na real life. Lazima mjue tofauti kati viwili ivyo
 
Acheni mawazo potofu kwani halau ina makombo mwacheni kijana wa watu kafanya kazi kubwa mwanamke kama hyo hdi kukuachia umtie mimba na akubali kuilea jua ww kidume
 
siwezi bisha lakini...kuna jamaaa alikua mtu wa dini sana alioa malaya aliekua kashindikana pale kitaaa kutokana na yule jamaaa kumjali na kumtunza yule dem alizaa na jamaa watoto watatu na dem alikua ametulia mpaka navo kuambia wamejenga kitunda na mtoto wao wa kwanza yupo form2 ....hao ndo walio nipa fundisho aisee .Hakuna malaya yeyote anayeoenda kufanya kazi ile amin nakuambia tafuta malaya yeyote muulize kiistaraaabu tu kwa nn anapenda hiyo kazi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…