Uliyempa Gig mimba mungu anakuonaaaa

Uliyempa Gig mimba mungu anakuonaaaa

Wengi hapa mnajitia unafiki tu mara oh gigy sipigi peku mara nyokolo wanafiki wakubwa mnakaza kavu wehu nyie ndo mana maambukizi hayashuki achemi kujifanya malaika hapa malaya mnaopiga wengine ni mbwa huyo gigy akasome ni vile amejitangaza tu maisha yake
 
Kuzaa na Gigy money ni kubeba risk kuliko hata kuweka hela kwenye forex trading.

Kwanza ana mdomo mchafu hatari, siku mkipishana kidogo ndani basi Tz nzima watajua, mwanamke wa kudanga ni aibu hata kusema umezaa nae
 
Yule sijui angaza walivyoenda kufungua fail la krinick majibu yapo vp kama kapona kweli ukimwi haupo
 
Wanaume wengi humu tunapiga kelele weee ya kwao hawayaoni km umalaya wengi wetu ni malaya maana km dem wako hujamkuta bikira ww unazani alijichokonoa ikatoka na ww ulisha wala madem wangap mbona hujisemi kua ni malaya ila gigy tu...Huyo unae muona malaya ndo anaweza akawa mke bora kuliko unaemuona anamaadili..Mimi sioni sababu ya kutoa hukumu ila naomba Mola amsaidie aache tabia mbaya na apate mme atulie


Apate mume atulie wakati mtu kishaliwa na mijamaa zaidi ya 60. Wewe tu mwenyewe jiulize, unaweza kuoa mwanamke kama Gigi? Machangu hawabadiriki hata iweje, watatulia kidogo then baadaye ile hamu ya mateso inawajia na kurudi mawindoni kujikumbishia zama zao.
 
Tunawaza kijinga, watu hubadilika, na inawezekana walipima na kuamua kufanya hivo, yeye ni mwanamke tena anaweza kuwa bora kuliko aliyekuzaa ama unayemwona wa maana,,,,

Acheni kumdhalilisha Gigy


Changu hafugiki wala habadiliki, never. Wanatulia tu kwa muda then wakiboreka (baada ya kuolewa) wanakosa raha ya maisha na kurudi walikotoka. Mtu aliyezoea mipini ya hajabu hajabu kila kukicha tayari kishaharibika psychologically. Hakuna anayemzalilisha Gigi, ni yeye mwenyewe ndiye anayejihukumu. Hivi kama nduguyo anaoa Gigi na kumpeleka kwa wazazi wako wamuone, unafikiri wazazi wako watasema nini juu yake kwa nduguyo? Naona jibu unalo tayari.
 
Nyie. Acheni maneno kana kwamba mko clean. Kuna lifestyle na real life. Lazima mjue tofauti kati viwili ivyo
 
Acheni mawazo potofu kwani halau ina makombo mwacheni kijana wa watu kafanya kazi kubwa mwanamke kama hyo hdi kukuachia umtie mimba na akubali kuilea jua ww kidume
 
Apate mume atulie wakati mtu kishaliwa na mijamaa zaidi ya 60. Wewe tu mwenyewe jiulize, unaweza kuoa mwanamke kama Gigi? Machangu hawabadiriki hata iweje, watatulia kidogo then baadaye ile hamu ya mateso inawajia na kurudi mawindoni kujikumbishia zama zao.
siwezi bisha lakini...kuna jamaaa alikua mtu wa dini sana alioa malaya aliekua kashindikana pale kitaaa kutokana na yule jamaaa kumjali na kumtunza yule dem alizaa na jamaa watoto watatu na dem alikua ametulia mpaka navo kuambia wamejenga kitunda na mtoto wao wa kwanza yupo form2 ....hao ndo walio nipa fundisho aisee .Hakuna malaya yeyote anayeoenda kufanya kazi ile amin nakuambia tafuta malaya yeyote muulize kiistaraaabu tu kwa nn anapenda hiyo kazi....
 
Back
Top Bottom