Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Mkuu dindilichuma naomba kufahamu yafuatayo.
1. Ada na michango mingine kwa kozi ya certificate in library and information studies ni kiasi gani?
2. Ada hiyo inalipwa kwa awamu ngapi? NA awamu ya kwanza inatakiwa kulipwa kiasi gani?
3. Je naweza kulipia ada za unit mbili kwanza nikazisoma na kuzifanyia mtihani kisha nikaendelea na kulipia unit nyingine na kuendelea kuzisoma?
4. Mtu mwenye diploma ya librarian and information studies anaruhusiwa kusoma fani zipi kwa level ya degree?
majibu tafadhali
 
akikujibu naomba unitag tafadhali
 
Check hiyo attachment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…