Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Je naweza kuomba wkt wowote kujiunga na kozi yoyote??

Hapana, kuna muda maalum.
Mfano kipindi hiki kuna dirisha la maombi
fced1279-b022-4607-8e91-a3f5dcdf3522.jpg

2a6ca5ce-6828-4151-8f65-699840998b97.jpg
 
Mkuu dindilichuma naomba kufahamu yafuatayo.
1. Ada na michango mingine kwa kozi ya certificate in library and information studies ni kiasi gani?
2. Ada hiyo inalipwa kwa awamu ngapi? NA awamu ya kwanza inatakiwa kulipwa kiasi gani?
3. Je naweza kulipia ada za unit mbili kwanza nikazisoma na kuzifanyia mtihani kisha nikaendelea na kulipia unit nyingine na kuendelea kuzisoma?
4. Mtu mwenye diploma ya librarian and information studies anaruhusiwa kusoma fani zipi kwa level ya degree?
majibu tafadhali
 
akikujibu naomba unitag tafadhali
 
Check hiyo attachment
Screenshot_2021-10-06-19-44-08-19_e2d5b3f32b79de1d45acd1fad96fbb0f.jpg
 
Back
Top Bottom