Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Wakuu, heshima kwenu

Hivi transcript inatoka miezi mingapi baada ya kumaliza chuo/kufanya mitihani ya mwisho?

Mfano, kwa mtu anayesoma kozi ya miaka 3, akimaliza vyema mitihani yake mwezi March, katika mwaka wake wa tatu, transcript yake anaweza kupata lini?
 
Kusoma diploma ngazi zote ni either uwe na certificate au acsse wewe unavyo hivyo vitu kimoja wapo!?
Acha uwongo, diploma ya pharmacy, nursing, Clinical medicine mpka laboratory ni D nne tu zile za Biology, chemistry, physics na Maths....!!!! Ndo ikawe hizo procurement na accountancy?????????
 
Certificate in Early Childhood Education ada sh ngapi?
 
Anayefahamu kuhusu hili, anisaidie
 
Habari

Naomba kufahamishwa kuhusu ASSESSMENT YA SOMO LA UTAFITI (RESEARCH)

Je pamoja na kufanya Research yenyewe, huwa kuna MTT na ANNUAL kama kawaida?

Je huwa wanafunzi wanakuwa assigned SUPERVISOR wa research?

Anauliza mwanafunzi wa LL.B mwaka wa 3
 
Msaada wakuu,Nina G.P.A ya 2.9 diploma ya phy & Math,nawish kujiunga na foundation ili kuweka mamb sawa,Coverage ya hiyo foundation kozi niliambiwa ni masomo sita, compulsory ni(Ds,ICT & CL) hayo mengine n yepi?
 
Msaada wakuu,Nina G.P.A ya 2.9 diploma ya phy & Math,nawish kujiunga na foundation ili kuweka mamb sawa,Coverage ya hiyo foundation kozi niliambiwa ni masomo sita, compulsory ni(Ds,ICT & CL) hayo mengine n yepi?
Inategemea na degree unayoenda kusoma baada ya foundation
Biashara
Sanaa
Sayansi
 
Inategemea na degree unayoenda kusoma baada ya foundation
Biashara
Sanaa
Sayansi
Ok, nawish kusoma degree ya technical education ambao msingi wake ni phy,math & Chen.Naomba kujua kama masomo n hayoo coverage yake inakua n ileile kam ya A- level au tofaut,ili nianze maandaliz mapema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…