Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Ok, nawish kusoma degree ya technical education ambao msingi wake ni phy,math & Chen.Naomba kujua kama masomo n hayoo coverage yake inakua n ileile kam ya A- level au tofaut,ili nianze maandaliz mapema?
Technical open? Labda ungwini
 
Hakuna MTT labda kama wameanzisha Sasa hivi.
 
Wewe ni kilaza kweli.
Umeshindwa kupata taarifa kwenye Prospectus ya Open University?

Jibu ni kuna MTT na Annual pia Supervisor unakuwa allocated baada ya wewe kuapply kupitia email ya Research Coordinator ukiwa umeambatanisha matokeo yako ya SARIS.
 
dindilichuma NAOMBA UNISAIDIE
1. JE OFP UKIFAULU UNAWEZA KUSOMA CHUO KIKUU CHOCHOTE ,KM UDOM SIJAONA KM WANACHUKUA WENYE FOUNDATION
2. JE UNAWEZA KUJIUNGA NA CERTF OPEN UNIVERSITY KWA MATOKEO YA 3.24 FORM 4 ALAF ANA" C " 4 ILA ANA "F" YA MATH JE ANAWEZA KUJIUNGA KUSOMA CERTIFICATE IN COMPUTER SCIENCE AU IT AU ICT
3. KIVIPI UNAWEZA KUAPPLY FOUNDATION COUrse online mwenyewe
dindilichuma
 
Naweza kupata mawasiliano ya mojakwa moja na muhusika yeyote WA chuo
 
Open Foundatio Course OFP inakuruhusu kuomba chuo chochote kilicho chini ya TCU.
anaruhusiwa kujiunga mwenye ufaulu walau wa principal pass moja na subsidiary moja ( Mfanano E na S) kwa form 6 na mwenye Diploma inayoanzia walau 2.0.

Kusoma ICT au computer science ni lazima uwe na pass ya Mathematics.
 
Wewe ni kilaza kweli.
Umeshindwa kupata taarifa kwenye Prospectus ya Open University?

Jibu ni kuna MTT na Annual pia Supervisor unakuwa allocated baada ya wewe kuapply kupitia email ya Research Coordinator ukiwa umeambatanisha matokeo yako ya SARIS.
Wanafunzi wanaolewa supervisor na kunakua na Research Viva ukishamakiza
 
Je unaweza kudahiliwa OUT ukiwa bado ni mwanafunzi wa chuo kingine? pia Ada kwa Units za bachelor ni bei gani?
 
Je unaweza kudahiliwa OUT ukiwa bado ni mwanafunzi wa chuo kingine? pia Ada kwa Units za bachelor ni bei gani?
Mfumo wa udahili vyuo vikuu kwa kozi za undergraduate uko centralised na unadhibitiwa na TCU.
Mwanafunzi hawezi kudahiliwa na kusoma vyuo viwili kwa wakati mmoja.

Ada kwa unit
Certificate, Diploma na Foundation ni 40,000 kwa unit
Bachelor degree- 60,000 kwa unit
Postgraduate Diploma- 180,000 kwa unit
Masters - 180,000 kwa unit
 
Hello,je Ni kozi gani nzuri za postgraduate diploma anaweza kusoma mtu aliegraduate degree ya science with education
 
Hello,je Ni kozi gani nzuri za postgraduate diploma anaweza kusoma mtu aliegraduate degree ya science with education
 
Foundation Ina units ngapi?
 
Foundation Ina units ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…