dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
- Thread starter
- #441
Ndio ni Blended modePost graduate diploma ya technical education nayo usomaji wake ni kwa njia ODL?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni Blended modePost graduate diploma ya technical education nayo usomaji wake ni kwa njia ODL?
Asante Kwa taarifa majina ni kweli yametoka Kuna mdogo wako aliomba siku mbili kabla majina kutoka lakin hajaonekana kwenye majina ya hivi karibu, je Lin Tena majina yatatoka?Majina ya waliochaguliwa kusoma Open University yameshatoka kama uliomba jaribu kucheck.
Je, ni kwanini 100% ya Wanafunzi Wanaosoma hapo OUT hawana Akili za Kitaaluma kama wa Vyuo Vikuu vingine mfano cha SAUT Mwanza chenye 100% ya Geniuses watupu akiwemo Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ambaye alikuwa nyuma yangu SAUT Mwanza miaka Miwili?Udahili umeanza, Chuo Kikuu Huria Tanzania na vyuo vingine hapa nchini.
Tuna chuo kimoja hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla kinachotoa elimu wazi na Masafa(Open and distance learning)
Serikali ilianzisha chuo hiki kwa sheria ya bunge namba 17 ya mwaka 1992. Hii ilikua kuwapa fursa wafanyakazi na watu wenye majukumu yanayowafanya washindwe kwenda conventional university, hivyo kujikuta mahitaji yao ya kujiendeleza kielimu yakishindwa kufikiwa.
Kwa mwaka huu wa masomo udahili utakua ni bure.
Ingia tovuti ya chuo www.out.ac.tz na ufanye online application. Unahitaji kuwa na soft copy ya vyeti na picha(passport size moja).
Kwa tuliosoma na kufanikiwa tujitahidi wenzetu pia ambao wanauhitaji, kuwatangazia waweze kuitumia fursa hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suruhu Hassan amesoma OUT, kwa level ya masters, kama haupo vizuri kichwani OUT huwezi toboa, OUT ni chuo kigumu sana kwa hapa Tanzania kuliko chuo chochote kile.Je, ni kwanini 100% ya Wanafunzi Wanaosoma hapo OUT hawana Akili za Kitaaluma kama wa Vyuo Vikuu vingine mfano cha SAUT Mwanza chenye 100% ya Geniuses watupu akiwemo Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ambaye alikuwa nyuma yangu SAUT Mwanza miaka Miwili?
Hebu achana na Mimi you Nut sawa?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suruhu Hassan amesoma OUT, kwa level ya masters, kama haupo vizuri kichwani OUT huwezi toboa, OUT ni chuo kigumu sana kwa hapa Tanzania kuliko chuo chochote kile.
ODL inamaana online and distance learningSamahani hivi (OUT) wana uhusiano na (ODL)..?
Inaangalika na masomo ya kufundishia, ila kiujumla mwanafunzi anatakiwa akamilishe jumla ya units 40 kwa programu yote yaani masomo ya kufundishia na yale ya education.Naomba msaada wa kujuza je Kozi ya bachelor's degree of science with education kwa out ina unit ngapi kwa mwaka wa kwanza, wa pili na watatu?
Sasa uliuliza na ukajibiwa kiusahihi, baada ya hapo unapaniki ndugu?? How?? Punguza stress kwanza ndugu yangu kabla hujatumia mtandao wa kijamii kama huu.Hebu achana na Mimi you Nut sawa?
Ndio, mahusiano yapo.Samahani hivi (OUT) wana uhusiano na (ODL)..?
Ingia www.out.ac.tz utapata taarifa zaidi kuhusu udahiliLini mwisho wa maombi ya kusoma masters
Kwasasa mfumo wa assignments kwa wanafunzi wa OFP haupo, continuous assessment iliyobaki kwa OFP ni MTT tu, ukifanya MTT jiandae na AE ndugu yangu. Hivyo haina athari ukiacha kufanya Assignments zilizopo moodle, na nyingi zimepita muda wake, kuanzia mwaka mmoja hadi miaka minne.Kwa mtu anayesoma OFP asipofanya assignments kuna athari yoyote katika matokeo yake ya mtihani mkubwa?
Asante.Ndio, mahusiano yapo.
Elimu inayotolewa OUT ni kwa mfumo wa masafa yaani hiyo OPEN AND DISTANCE LEARNING (ODL). Ingawaje kuna baadhi ya kozi hukutana ana kwa ana walimu na wanafunzi kwa mwaka mara moja, kama vile practicals kwa wanafunzi wa sayansi na sheria pia.