Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

pole jaribu kuingia katika Website ya OUT - admission panel na uwapigie simu kwa usaidizi zaidi
Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa na nimepata intake ya mwezi April Bach 3 bila maelezo yoyote
Naomba niulize baada ya hapa nini kinafuatia ili niangalie namna ya kupambana na yajayo.
 
Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa na nimepata intake ya mwezi April Bach 3 bila maelezo yoyote
Naomba niulize baada ya hapa nini kinafuatia ili niangalie namna ya kupambana na yajayo.
nenda katika OUT centre ya eneo ulipo ukiwa na admission letter yako(kama umeshatumiwa na kama bado subiri),kisha ukifika hapo watakufungulia akaunti ya SARIS na utajisajili katika masomo unayotakiwa kusoma kwa Semister husika na baada ya hapo utapata kuona kiasi cha ada ambacho utatikiwa kulipa,na utaenda katika ofisi za uhasibu kuchukua Control number na kufanya malipo ya kiasi unachohitaji alafu utarudisha Deposit Slip chuoni na utapewa Risiti ya Chuo yenye kuonyesha kiwango ulicholipa ,na baada ya hapo utakuwa umeshapatiwa mawasiliano na Coordinator wako na utaanza kupata uatartibu wa masomo kulingana na Level yako ya Masomo(Undergraduate au Postgraduate)
 
Wakuu nisaidieni nimesoma diploma in record information and archive management GPA 3.0 tpsc naomba ushauri nisome kozi gani degree
 
Nataka nisome kozi ya human resource ila naishi arusha out wanayo hizi kozi ?
 
naona bado,ila unaweza kuendelea kutumia ya 2023/2024
Mkuu samahani, naomba kuuliza kuwa hii kozi ya bachelor of science general ipoje maana nlivosoma prospectus yao cjaelewa kwamba unakuwa specfied katika somo moja ama mawili na kuhusu hizo practical znafanyikaje
 
Mkuu ninahitaji kusoma Bachelor of Laws (L.LB) hapo OUT. Ijapokuwa mimi ni mwajirwa na tayari nina degree nyingine. Je inawazekana hasa hapo kwny suala la muda?

Pia ni lini wanafunga udahili na lini masomo wanaaza?
 
Kwani kujiungana open nikiwana na diploma ya gpa 4.0 inawezekana au
 
Mkuu samahani, naomba kuuliza kuwa hii kozi ya bachelor of science general ipoje maana nlivosoma prospectus yao cjaelewa kwamba unakuwa specfied katika somo moja ama mawili na kuhusu hizo practical znafanyikaje
kwa kweli sina uelewa nayo kabisa,ila unaweza kupiga simu chuoni moja kwa moja ukapata ufafanuzi wa kina,unaweza kuagalia katika Prospect ya hapo chini.
 
Attachments

Mkuu ninahitaji kusoma Bachelor of Laws (L.LB) hapo OUT. Ijapokuwa mimi ni mwajirwa na tayari nina degree nyingine. Je inawazekana hasa hapo kwny suala la muda?

Pia ni lini wanafunga udahili na lini masomo wanaaza?
-Unaweza kusoma muhimu Commitments tu
-nafikiri kipindi hiki ndicho cha udahili,japo unaweza kutembelea tovuti yao,na kufuata maelekezo yaliyotolewa.
https://admission.out.ac.tz/index.php/registration.com
 
Mimi nimeomba postgraduate diploma in education, wameniambia ada ni 2,070,000 pamoja na direct cost so nataka kujua hii ada natakiwa niilipe kwa awamu ngapi
Huwa wanalipa kulingana na Unit ulizo sajili, ni wewe tuu na muda wako na kipato chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…