Fafanua vyema mkuuWALE WANAFUNZI WA LIFE SCIENCE KUANZIA FOUNDATION COURSE WANAOSOMA BIOLOGY, WANAOSOMA DEGREE ZA NUTRITION, ZOOLOGY,BOTANY COURSES NIONE PM KAMA KUNA COURSES ZINAKUSUMBUA TUTAYAJENGA
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Naomba namba yako nikupigie unielekeze issue kidogoNdio hizo unalipa mwanzoni na si unajua PGD in mwaka mmoja tuu.
Weka yako wewe nikupigie. Otherwise njoo pmNaomba namba yako nikupigie unielekeze issue kidogo
Ndio kila faculty kila department na kwa kila program lecturers wapo mkuu.Naomba kuuliza, hivi OUT kuna lectures?
Kila unit ni bei gani Kwa undergraduate mkuu?na zinalipwaje?Huwa wanalipa kulingana na Unit ulizo sajili, ni wewe tuu na muda wako na kipato chako
Ni kama mwaka 1, 2 na 3Nmeona Kwa upande wa undergraduate Kuna level I,II,III pamoja na course zake!naomba ufafanuzi...hzo level ndizo semester au.?