Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Nmeona Kwa upande wa undergraduate Kuna level I,II,III pamoja na course zake!naomba ufafanuzi...hzo level ndizo semester au.?
 
GPA zao zipoje??

GPA zinapatikana kwa Masters au ni mwendo wa kunyooshana tu kama hivi vyuo vingine??
 
Back
Top Bottom