Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Nina shahada ya kwanza ya KILIMO , na GPA ya 4.2/5.0....ni kozi gani ya Masters naweza kusoma na Ada yake Ni kiasi GANI? Nipo tayari kukusikiliza.
 
Nina shahada ya kwanza ya KILIMO , na GPA ya 4.2/5.0....ni kozi gani ya Masters naweza kusoma na Ada yake Ni kiasi GANI? Nipo tayari kukusikiliza.
Gharama ya Ada huwa inategemea na programme haiko sawa kwa programme zote.
Unit 1 ni 180,000
Masters ina unit kuanzia 18 mpaka 24 inategemea na kozi anayoisoma muhusika.
 
Nina shahada ya kwanza ya KILIMO , na GPA ya 4.2/5.0....ni kozi gani ya Masters naweza kusoma na Ada yake Ni kiasi GANI? Nipo tayari kukusikiliza.
Kilimo? Masters ya nn? Nyie mwisho Bachelor tu
 
GPA inayotakiwa kwa mujibu wa wasimamizi wa Vyuo vikuu (TCU)kwa mtu anaepaswa kudahiliwa Kutoka Diploma kujiunga na shahada ya kwanza (Bachelor degree) anapaswa kuwa na GPA ya kuanzia 3.0 zamani ilikua 2.7 lakini kuanzia mwaka wa masomo uliopita imewekwa GPA ya 3.0.

Alternative unaweza kufanya diploma nyingine upate GPA stahiki, au unaweza kufanya mtihani wa kidato cha sita na kupata sifa stahiki au unaweza kufanya mtihani wa RPL unaotolewa na TCU.
Unatakiwa kusoma foundation course ili ukidhi mahitaji ya chuo au TCU
 
Application kwaajili ya April intake zinaendelea.View attachment Postgraduate Application 2021.pdf
IMG-20211230-WA0013.jpg
IMG-20211207-WA0040.jpg
 
Nahitaji computer science ila nipa form 4 na Ni mwal pri. Naweza anzia diplom?
 
Kuna jamaa angu anasoma out,yeye assignment zote anafanyiwa.huwa najiuliza mtu kama huyo atakaa awe competent kweli au anataka cheti tu?
Unadhani ni tatizo la chuo au la mtu binafsi!?

Chuo kimeweka utaratibu kila mwanafunzi afanye yeye kwa faida yake yeye ana delegate elimu yake kwa mwingine .

He is an idiot
 
Nahitaji computer science ila nipa form 4 na Ni mwal pri. Naweza anzia diplom?
Kusoma diploma ngazi zote ni either uwe na certificate au acsse wewe unavyo hivyo vitu kimoja wapo!?
 
Kusoma diploma ngazi zote ni either uwe na certificate au acsse wewe unavyo hivyo vitu kimoja wapo!?
Nina certificate ya education . Nataka diploma ya IT. itakubalika?
 
Kiongozi mm nashindwaa ku log in kilaa nkijaribu kuweka password ya kubahatisha nilshasahau nashindwaa na hkn option nyingin
 
Back
Top Bottom