Uliza chochote kuhusu Wazaramo

Uliza chochote kuhusu Wazaramo

Ni kwanini hawapendi kazi wakiamuka ni vibarazani? Na kwanini kila nyumba zao hata kama kuna matope kuna kuwa na kibaraza na kwanini wanapenda ushirikina sana?
 
Ni kwanini hawapendi kazi wakiamuka ni vibarazani? Na kwanini kila nyumba zao hata kama kuna matope kuna kuwa na kibaraza na kwanini wanapenda ushirikina sana?

sio kweli ila wazaramo wengi hawapendi kazi za kuajiriwa huwa wanajiajiri wenyewe na shughuli zao mara nyingi zinakua karibu na nyumbani kwao. ndio mana wanaonekana hawajishughulishi kwa vile mda mwing wanaonekana around na nyumbani. suala la ushirikina ni hulka ya watanzania wote ukizngatia wanawake.
 
hayo mambo yalikua zaman ila wazaramo wa sasa hiv wanasoma kwa ufupi tumeelimika. tabia za majungu, umbea na ushankupe ni tabia za watanzania kwa ujumla na huwa zinatokana na ugumu wa maisha na sio kabila fulani.

mbona bado twavishuhudia vigodoro? Vikuku? Viduku? Kusasambua? Na kumwaga radhi? Mchana kweupe wamama wazima.
 
Anko angu mke wake mzaramo
sasa wadogo zake wakiume na wakike wanapeana ratiba ya kufka pale kimara.
Yaani mchana anakuja mdogo wa kike,jionmdogo wake wa kiume
wanashikilia rimoti,wamejiachia saebuleni,na glas ya juisi na stori zao za ooooh we mwana weeee
yaani hawafanyi kazi,washaguza kwa dada yao ambae kaolewa ndio ofs
.............
Maswali ninayo mengi,ila niwashaur tu achen uzembe,maana kila kukicha mnatolewa mjini mnakimbilia pembezon
 
Je,ni malipo gani anayotakiwa kupewa na mwali yule mtu anayembeba mwali shingoni ili aneme,siku mwali anapotoka ngomani(mkole)?
Nalog off
 
shanga za nini kiunoni

na kwa nini mkiingia shugulini amtufundishi matumizi yake

ni hayo tu

napita
 
Hili sio kwa wazaramo.....Kikwete ni ------ mkuu sio mzaramo

Duh hawa MOD's sasa wamezidi.....JF sasa kuandika kabila nalo tusi?ebu nijaribu wamakonde,wangido,wahaya.....waliloliziba....wakwere....
 
...mkuu " kijanamtanashati"
nini maana ya sentensi "MFIGA MATATU"
 
Ni kwanini hawapendi kazi wakiamuka ni vibarazani? Na kwanini kila nyumba zao hata kama kuna matope kuna kuwa na kibaraza na kwanini wanapenda ushirikina sana?
Princess umenifumbua macho, kumbe jamaa zetu wazaramo ndivyo walivyo?!
 
Back
Top Bottom