kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
uliza chochote kuhusu kabila hili mila desturi na mengne. mimi na wazaramo wezangu tutawajibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo mambo yalikua zaman ila wazaramo wa sasa hiv wanasoma kwa ufupi tumeelimika. tabia za majungu, umbea na ushankupe ni tabia za watanzania kwa ujumla na huwa zinatokana na ugumu wa maisha na sio kabila fulani.kwanini ni wavivu, hamsomi,wambea,majungu,ukuda,na washankupe??
Ni kwanini hawapendi kazi wakiamuka ni vibarazani? Na kwanini kila nyumba zao hata kama kuna matope kuna kuwa na kibaraza na kwanini wanapenda ushirikina sana?
hayo mambo yalikua zaman ila wazaramo wa sasa hiv wanasoma kwa ufupi tumeelimika. tabia za majungu, umbea na ushankupe ni tabia za watanzania kwa ujumla na huwa zinatokana na ugumu wa maisha na sio kabila fulani.
uliza chochote kuhusu kabila hili mila desturi na mengne. mimi na wazaramo wezangu tutawajibu.
kwa nini kikwete nchi imemshinda
Hili sio kwa wazaramo.....Kikwete ni ------ mkuu sio mzaramo
Princess umenifumbua macho, kumbe jamaa zetu wazaramo ndivyo walivyo?!Ni kwanini hawapendi kazi wakiamuka ni vibarazani? Na kwanini kila nyumba zao hata kama kuna matope kuna kuwa na kibaraza na kwanini wanapenda ushirikina sana?
Duh.... huu ni uwongo 100%kwanini wazaramo wote ni waislam?
Mkuu Songoka, mbona umetoka nje ya mada?!kwa nini kikwete nchi imemshinda