Uliza chochote kuhusu Wazaramo

...mkuu " kijanamtanashati"
nini maana ya sentensi "MFIGA MATATU"
Kwa stori tunazozisikia mitaani kuhusu tafsiri ya MAFIGA MATATU ni kuwa , binti wa kizaramo, anapoolewa, huwa anaelekezwa na kungwi wake kuwa, asiwe fully dependant kwa mumewe 100%

Kuclarify hilo jambo ni kuwa, apart from her husband, anatakiwa pia kuwa na vidumu viwili, ili viwe vinajazilia 'ndoo' yake!
 
mbona bado twavishuhudia vigodoro? Vikuku? Viduku? Kusasambua? Na kumwaga radhi? Mchana kweupe wamama wazima.

Umefanya utafiti na ukagundua vigodoro ni ya Wazaramo tu? Mi nadhani hauko sahihi, vigodoro ni cultural evolution, ni utamaduni mpya uliozalishwa na hali ngumu ya maisha na ujinga wa Watanzania.
 
wazaramo kweli wanawake wao wana uwezo wa kukataa mwanaume mana
 
Umefanya utafiti na ukagundua vigodoro ni ya Wazaramo tu? Mi nadhani hauko sahihi, vigodoro ni cultural evolution, ni utamaduni mpya uliozalishwa na hali ngumu ya maisha na ujinga wa Watanzania.

sijasema ni vya wazaramo tu.
 
wazamo pengine ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda chini sana, si wanaume si wanawake..,sababu ni nini hasa?
 
Nawashauri vijana wote wavivu waende kuoa wazaramo wakwe wanagharamia sherehe za harusi furniture pamoja na shopping ya bibi harusi, unakuwa huna gharama ya kumnunulia nguo mkeo kwa miaka walau miwili, ila lazima uwe na bajeti ya pesa za kumpa mkeo kununuwa sare za ngomani kila baada ya wiki mbili.
 
Hahaha.

Hata hizo sare za ngomani ni vitambaa vya kukata manzese na mashono kwa babu ally haifiki hata 20,000/-. Kitambaa mita buku tatu, mashono ya dera hayafiki buku tano. Otherwise dera la kkoo ni buku kumi tu.

Hawana makuu kaka. Sasa lara 1, anataka sare itoke mayfair gauni 350,000/- na kiatu 180,000/-. Hata kama ni mara tatu.kwa mwaka si balaa hiyo. Ndio maana bora mturuhusu kufanya kazi ili tupunguze kuomba omba (sijaongelea matching clutch hapo 150,000/-)
 
Last edited by a moderator:
Kwanini wazaramo mnapendelea kusoma magazeti pendwa ?
 
kwa nini kikwete nchi imemshinda

kwanza kabisa kikwete sio mzaramo alafu suala la kushindwa kuongiza nchi si jukumu la rais bali ni sera mbovu za chama. rais yeye kazi yake ni kutekeleza sera za chama husika hivyo sera za chama zkiwa mbaya hata ukimleta rais anayesifika kwa utendaj mzur dunian bado nchi itadorola. kwa ufup sera za chama ndio znaongoza nchi na sio rais. rais ni cheo tu hawez kwenda against na sera za chama.
 
Je,ni malipo gani anayotakiwa kupewa na mwali yule mtu anayembeba mwali shingoni ili aneme,siku mwali anapotoka ngomani(mkole)?
Nalog off

malipo yanategemea na kias mlichokubaliana. na hzo hela halip mwal mwnyewe ni wana familia ndo wanaolipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…