Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Kwa stori tunazozisikia mitaani kuhusu tafsiri ya MAFIGA MATATU ni kuwa , binti wa kizaramo, anapoolewa, huwa anaelekezwa na kungwi wake kuwa, asiwe fully dependant kwa mumewe 100%...mkuu " kijanamtanashati"
nini maana ya sentensi "MFIGA MATATU"
Kuclarify hilo jambo ni kuwa, apart from her husband, anatakiwa pia kuwa na vidumu viwili, ili viwe vinajazilia 'ndoo' yake!