kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
- Thread starter
-
- #41
wazaramo kweli wanawake wao wana uwezo wa kukataa mwanaume mana
wazamo pengine ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda chini sana, si wanaume si wanawake..,sababu ni nini hasa?
Nawashauri vijana wote wavivu waende kuoa wazaramo wakwe wanagharamia sherehe za harusi furniture pamoja na shopping ya bibi harusi, unakuwa huna gharama ya kumnunulia nguo mkeo kwa miaka walau miwili, ila lazima uwe na bajeti ya pesa za kumpa mkeo kununuwa sare za ngomani kila baada ya wiki mbili.
Kwanini wazaramo mnapendelea kusoma magazeti pendwa ?
Wazaramo - Wikipedia, kamusi elezo huruAsili ya wazaramo hasa ni wapi??
Si kwelikwanini wazaramo wote ni waislam?
sio kweli ila wazaramo wengi hawapendi kazi za kuajiriwa huwa wanajiajiri wenyewe na shughuli zao mara nyingi zinakua karibu na nyumbani kwao. ndio mana wanaonekana hawajishughulishi kwa vile mda mwing wanaonekana around na nyumbani. suala la ushirikina ni hulka ya watanzania wote ukizngatia wanawake.
wazamo pengine ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda chini sana, si wanaume si wanawake..,sababu ni nini hasa?