kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
- Thread starter
- #41
wazaramo kweli wanawake wao wana uwezo wa kukataa mwanaume mana
wana nini kwan? mimi navyojua wanawake wote wanawakataa wanaume wanaowatokea ikiwa hawaja pendezwa nao labda hyo mwanamke awe changudoa ndio hawez kukataa. sidhan hil nalo linahusiana na kabila fulan?