Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

Adam nani alimfundisha kumgegeda Eve..
Alilijuaje tundu kua ni mbele badala ya nyuma?
Ni kweli utamu wa kugegeda umebaki asilimia 2%.
Kwanini Asilimia ziwe mia tu na nn maana ya Asilimia?

-Mond-
lol,
 
Ningependa kufahamu maana ya kutakatisha fedha
ni hali kuwekeza fedha zilizopatikana kwa njia ya haramu mfn za madawa kulevya ujambazi ufisadi rushwa nk katika thamani mfn kununulia magari ya kifahari nyumba kuziingiza katika miradi au kuzitapanya katika account tofautitofauti yote kuogopa mkono wa selikari kuhoji ulikozipata milioni 100 kwa mwenzi wakati kipato chako au milioni 10 kwa mwaka au kutotaka kugundulika kuwa unafanya biashara halamu nk
 
Back
Top Bottom