Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

Ningependa kufahamu maana ya kutakatisha fedha
Kuchukua hela sehem tofauti na ulipozalishia na kuziingiza kwenye mzunguko kinyume na utaratibu huku ukiamanisha watu kwamba hela hyo imetoka hapo hapo ktk hyo ofis,kama akina aveva na kaburu wanachoshtakiwa nacho,au aliekua mume wa Kajala
 
Ni kitendo cha kuingiza katika mzunguko/mfumo halali wa kifedha fedha zilizopatikana kwa njia haramu.
Samahani mkuu kuna jamaa wale wa mpira wao nasikia gharama ilikuwa ndogo wao wakaandika kubwa nako ni kutakatisha hela?
 
Je Magufuli ana njozi ipi kuhusu Tanzania?
Maana kila kitu anafanya kile cha Nyerere alichokuwa anafikiria
Kama mwenzako ana njonzi/ndoto nzuri, zenye maono ya muelekeo wa kimaendeleo.

Sio vibaya uki-copy na kuiishi ndoto hiyo..

Magufuri ameweza KUVAA Viatu vya BABA WA TAIFA....Mpaka anapitiliza..!!
 
kama ni hapana, why she akimpenda she au he akimpenda he inakua ni hatia nzito?
Naassume unamaanisha upendo wa kimapenzi.

Ni kwakua kuna maadili na taratibu ambazo zinatuzuia kufanya baadhi ya vitu, kutia ndani watu wa jinsi moja kupendana.
 
exactly upendo wa kimapenzi,

Maadili, i thout kupenda ni kupenda kumbe maadili yanabagua aina ya kupenda means kupenda ni hatia kwa wengine na ni halali kwa wengine.
 
Kijamii unasurrender haki zako zote kwa dola ambayo in turn inakuhakikishia ulinzi, na yenyewe itapanga ili upate ulinzi wake inatakiwa wewe uweje.

Kwa Tanzania hautakiwi kujihusisha na upendo wa hivyo. Ili wenyewe wakupe ulinzi.
Kwa South Africa ni ruksa na ulinzi utapata, ila wanajamii bado wameshikwa na mazoea ya zamani hivyo kuna killings za hapa na pale.

So ni mpaka litakapokua eneo ambalo halina dola ndipo utaweza fanya kila unachotaka bila kuhojiwa
 
oopss, thank you,
one day the society will understand that those people "they didn't choose that life, that life chose them"
 
What do you believe?
God decided your destiny before you were born.
You decide your destiny everday.
 
Back
Top Bottom