Uliza Kiatu - H_art the Band

Uliza Kiatu - H_art the Band

Wimbo mzuri sana.. .
Wanaume wengi wanahangaika sana ili tu wake au wasichana wao waishi vizuri, lakin asilimia kubwa ya wanawake wanachukulia krahis rahis tu... jiweke wewe kwenye hiyo nafasi utaweza kustahimili????? Ask my shoes!!
 
Very true...Story of our lives!
 
Hahahahaha Naona wanaume hapa wamepitia kijoto kuFRONT bill heheheh
 
Ni kweli hata wanaume na sisi tuna majanga utakuta mchizi anafanya vitu vya ajabu. Lakini akifanya demu jamaa anamaindie
 
Back
Top Bottom