Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC


Wanakufa wengi tu hata wanajeshi wa south afrika wanakufa lakini zuma anaogopa kutangaza kwani hataki hasira nchini mwake baada ya kufa askari huko central afrika,kingine hawatoi number zote za walio kufa wanajaribu ku sample watu wa vyeo vya juu,sorry kwa kuingilia swali lisilo langu labda HIDER ana habari zaidi .
 

Source please.hili ni jukwaa la wasomi
 

majibu ya google yanakuwa sahihi tu kama matakwa ya rwanda yatatekelezwa lakini yakisema tofauti na matakwa ya Rwanda ni uzushi ! kweli kazi ipo kuishi na watusi
 
Ndani ya Congo kuna jamaa zako Kagame na Museveni M23 jina hili hutokana na tarehe 23 Machi mwaka 2009, siku siku ambayo serikali ya Congo ilifikia makubaliano ya amani na kundi la waasi wa CNDP.

Ritz kumbe maeneo mengine unatemaga point, kama mzee komba leo vile
 
Hiyo ilikuwa report ya mwezi Juni mwaka huu ndiyo ambayo Rwanda walidai siyo kweli. Hii ya mwaka jana, waliikubali na kuahidi kubadilika. Nakuomba uisome, maana mimi hapa nilipo naisoma. Ina kila aina ya ushahidi kaka.

majibu ya google yanakuwa sahihi tu kama matakwa ya rwanda yatatekelezwa lakini yakisema tofauti na matakwa ya Rwanda ni uzushi ! kweli kazi ipo kuishi na watusi
 

Sasa wewe unanichekesha nilini rwanda ulifurahia mauaji congo?mimi sio msemaji wa m23 au rwanda ni mtu binafsi natoa maoni yangu kama wengine,mimi nilichokiona ni kwamba wahutu wenye siasa kali na wafaransa wameweza kuichafua sura ya watusi dunia nzima kwa kutumia media na reports mbalimbali,na wengi wenu ndio source ya ulewa wenu,please nenda rwanda ukafanye research ndio utagundua ukweli,haya yakusema rafiki yangu aliniambia,eti report ya expert ni uongo mtupu,mimi siko kujipendekeza kwa mtu bali nikuusema ukweli.
 

umejibu kiushabiki zaidi haupo sahihi
 
Magazeti yote ya leo hapa DRC yameonesha picha za baadi ya vitambulisho na uniform za Rwanda zilizoachwa katika na M23. Unajua ukija hapa GOMA halafu ukabisha eti Rwanda haiwasaidii M23 kila mmoja atakushangaa. Hapa mpakani Gisenyi ipo wazi kabisa. Mwezi wa nne M23 walikuwa wanapita hapa kuelekea kIBUMBA HUKU WAKIWA NA RDF.

Sasa wewe angalia report na majibu ulinganishe,kwani ukweli unatokana na facts na evidence ambazo ni za uhakika.
 

mbona unajihami sana, kwa taarifa yako tu mimi siyo mgeni ndani ya Rwanda ! nimeenda Rwanda mara nyingi na nimeongea na watu wa aina mbalimbali kuanzia wakulima, wasomi mpaka wanasiasa!
 

ukimwamsha aliyelala utalala wewe, huyu jamaa anafikiri tunazungumzia DAR kwa kuambiwa au kugoogle .Usaidizi wa Rwanda kwa M 23 hata raia wa kawaida wa Rwanda wanaukiri kwani vjana wao ni askari wa jeshi la Taifa na wanajiita m23 wanapokuwa ndani ya DRC
 
hiyo ilikuwa report ya mwezi juni mwaka huu ndiyo ambayo rwanda walidai siyo kweli. Hii ya mwaka jana, waliikubali na kuahidi kubadilika. Nakuomba uisome, maana mimi hapa nilipo naisoma. Ina kila aina ya ushahidi kaka.

asante
 
Natambua wazi kuwa hili ni jukwaa la wasomi ndiyo maana nilieleza source tokea awali. Kwa wale ambao hamkuiona basi ingia hapa www.innercitypress.com/drcsanc0613repicp.html‎
;7692089]Source please.hili ni jukwaa la wasomi[/QUOTE]
 
Mkuu MUKAMASIMBA nimefuatilia majadiliano yenu hapa.Kuna kitu nikuulize,unaonekana unasapoti Kagame kuwapiga FDLR kivita.Labda unafikiri wakishapigwa na Kagame,ni matokeo gani ambayo ninyi watusi mnayataka yawakute FDLR?(katika jibu lako zingatia uhutu wa FDLR,sapoti waliyonayo toka kwa wahutu wengi ndani na nje ya Rwanda na uhusiano wa watutsi na wahutu kama raia wa nchi moja milele na milele.).Yaani desired outcomes zako ni zipi katika vita hiyo unayotaka ipiganwe na Kagame na FDLR?Unataka kipi kiwakute FDLR na wahutu kwa ujumla?
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuwaona wafaransa hapa GOMA. Pia kwa nini Wa TZ tu ndiyo wanakufa sina majibu probable ni kwakuwa wao ni lead army na wapo wengi.

 
Jamii nyingine kuangamizwa kwao siyo issue kabisa, genocide ni pale jamii nyingine zinapodai haki kwa watusi tu!
 
Sijawahi kuwaona wafaransa hapa GOMA. Pia kwa nini Wa TZ tu ndiyo wanakufa sina majibu probable ni kwakuwa wao ni lead army na wapo wengi.

TZ ndiyo inayoongoza kikosi cha ARDHINI hivyo kupigana moja kwa moja na m23 tofauti na SA/MALAWI KIKOSI CHA ANGA NA MIZINGA
 
sijawahi kuwaona wafaransa hapa goma. Pia kwa nini wa tz tu ndiyo wanakufa sina majibu probable ni kwakuwa wao ni lead army na wapo wengi.

watusi watasema chochote ilimradi tu wapate huruma ya jumuiya ya kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…