Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Kiu yao ilikuwa nini nini?

kweli ni mwisho lakini tatizo halija tatuliwa,umemkimbiza M23 na amehama mzima mzima ikimaanisha kwamba hajatoweka kesho kesho kutwa atarudi,kinacho wauma FRANCE NA SADC nia yao haikua M23 nikama vile ulikua na kiu ukapewa kidogo na kunyan'ganywa kabla hauja maliza kiu.
 
Vyanzo cha kiuchumi vya m23 ni vipi? Na kwa nini wanajeshi wa tanzania wanalengwa sana katika mashambulizi......
 
Imebadirika wapi, wote wamekimbilia Bunagana. Kesho watavuka mpaka na kukamatwa. Wameacha silaha nyingi sana, watapigania nini? Jana katika TV wameonesha mizinga, vifaru, mabomu na bunduki zilizoachwa na M23. Tukubaliane kimsingi, mwisho wa M23 umekaribia, labda lije jingine.

Wata watoa wapi? sasa ndio kamchezo kameanza,hao politician acha waende watu wavita waanze kazi ya kuchomoa mmoja baada ya mwingine,afadhali hii move waichukue kwa tahadhari kwani game imebadilika naona umeliona hilo.
 
Nyinyi maneno mengi propaganda nyingi, lakini kichapo mtakula mpaka mkubali mazungumzo kiukweli sio kiujanja janja.
halafu kuishi dar haimaanishi hawezi kwenda frontline ikibidi. Vita nchi hii hatujaanza kupigana jana, vijana morari upo tena sana bweg.e wee.
Mbona wewe muoga? huwezi kamata silaha,halafu hakuna kichapo chochote kwa M23 wamehama tu,game lime change sasa huwezi kua mtu 2000 unapigana na watu 100000 kama siafu ahahahhaa,sasa ni kuchomoa siafu moja moja mpaka zitakapo isha.
 
Last edited by a moderator:
Sijakugeuka wala sihitaji kufanya hivyo. Hoja zangu mara zote zitasimama katika ukweli bila jazba kama mfanyavyo. Ila umenishangaza ulipoishambulia TZ. Tatizo lako si ni Rwanda na DRC, Tanzania imeingia wapi? Sipendi kujiingiza katika vita hiyo ya kudharauliana wakati mimi ni mwumini wa UMOJA NI NGUVU. Unataka tupite wapi?

FLASH HIDER mbona unanigeuka sasa kwani nani amalinganisha rwanda na tanzania? kwakweli kamatanzania kungekua na viongozi kama kagame nahiyo mimali udongoni na fikiri tz ingekua juu kuzidi south afrika,kwa kweli rwanda hai lingani na tz nakubali,ila kuna ka short circuit somewhere.
 
Napenda MUKAMASIMBA aendelee kewepo jukwaani, maana kupitia yeye watu wanafunguka zaidi na sisi watazamaji tunafaidi zaidi.

wahenga walinena "ukitaka kuona tumbo piga mgongo"
duuuh!nimeichukua hyo
 
Last edited by a moderator:
Kama nia yao haikuwa M23, kumbe bado wanasababu mkononi ya kuendelezea nia yao. Maana, kama kweli nia yao sio m23 wata demand serikali ziwakamate hao m23, kama hawakamati basi watafuatwa. Kama marekani alivyomfuata Osama afghan. Kama UN wanasababu nyingine bado wana option nyingi mkononi.

Hiyo uisahau kabisaa hawa wezi hilo M23 sio osama pole sana,ni watu wanaopigania haki yao wamefukuzwa kutoka nchini mwao tena matatizo yao yalikua mezani kampala sasa congo imeamua kuyaacha sasa huyo ni alkaeda?tena kingine kama wanataka vita ya moja kwa moja zitapigwa vilevile itolewe bughudha.
 
Simply, vyanzo vya uchumi vya M-23 ni misaada kutoka Rwanda. Pia hawa jamaa katika eneo walilokuwa wamelikalia, walianzisha Parallel government kwa kuanza kuwalipisha kodi wananchi na magari yote yanayoingia. Gari (Fusso) linaloingia hutakiwa kulipa USD 50 mpaka 100 kutegemea na aina ya mzigo iliyobebwa. Wamekuwa na mawaziri, jeshi la polisi nk. Tatu ni uporaji walioufanya mwaka jana hapa GOMA. Walipora magari na mali nyingine nyingi tu. Mwisho wanafanikisha usafirishaji wa madini kutoka Walikale na maeneo mengine kuingia Rwanda au Uganda.

Kuhusu kulengwa kwa Watazanaia, hilo sijui lakini kuna mdau amejibu kwa kusema wao wana majeshi ya ardhini hivyo wapo front zaidi.

MPAKA
[ QUOTE=Potea wa potea;7693878]Vyanzo cha kiuchumi vya m23 ni vipi? Na kwa nini wanajeshi wa tanzania wanalengwa sana katika mashambulizi......[/QUOTE]
 
[h=5]Patrick Kambale
-PAXP-deijE.gif
Bana Goma
[/h]Options for this story

Fred Mwasa mwasa 1m
‪#‎Uganda‬ sends chopper to Bunagana to transport ‪#‎M23‬ delegation for beginning of Kampala talks M23 rebel leader in Uganda for peace talks … ‪#‎DRC‬ ‪#‎Rwanda‬
 
Last edited by a moderator:
Simply, vyanzo vya uchumi vya M-23 ni misaada kutoka Rwanda. Pia hawa jamaa katika eneo walilokuwa wamelikalia, walianzisha Parallel government kwa kuanza kuwalipisha kodi wananchi na magari yote yanayoingia. Gari (Fusso) linaloingia hutakiwa kulipa USD 50 mpaka 100 kutegemea na aina ya mzigo iliyobebwa. Wamekuwa na mawaziri, jeshi la polisi nk. Tatu ni uporaji walioufanya mwaka jana hapa GOMA. Walipora magari na mali nyingine nyingi tu. Mwisho wanafanikisha usafirishaji wa madini kutoka Walikale na maeneo mengine kuingia Rwanda au Uganda.

Kuhusu kulengwa kwa Watazanaia, hilo sijui lakini kuna mdau amejibu kwa kusema wao wana majeshi ya ardhini hivyo wapo front zaidi.

MPAKA
[ QUOTE=Potea wa potea;7693878]Vyanzo cha kiuchumi vya m23 ni vipi? Na kwa nini wanajeshi wa tanzania wanalengwa sana katika mashambulizi......
[/QUOTE]

Lakini rwanda ina utajiri gani wa ku support vita ya M23? mara rwanda masikini,mara matajiri sasa mimi siwaelewi,jamani tuongee ukweli hapo.
 
Hivi Mukasama!! hawa M23 wana madai ya maana kweli? hivi kikitokea kikundi cha watu ndani ya Rwanda wakakalia hapa Gisenyi wakaanzisha serikali yao, wataachwa kweli na Kagame? Nakwambia tena DRC imekuwa na subira sana, waingie TZ waone. Nakumbuka kulizuka Wasomali TZ ilichofanyika hadi leo imebaki historia.

Hiyo uisahau kabisaa hawa wezi hilo M23 sio osama pole sana,ni watu wanaopigania haki yao wamefukuzwa kutoka nchini mwao tena matatizo yao yalikua mezani kampala sasa congo imeamua kuyaacha sasa huyo ni alkaeda?tena kingine kama wanataka vita ya moja kwa moja zitapigwa vilevile itolewe bughudha.
 
Sijakugeuka wala sihitaji kufanya hivyo. Hoja zangu mara zote zitasimama katika ukweli bila jazba kama mfanyavyo. Ila umenishangaza ulipoishambulia TZ. Tatizo lako si ni Rwanda na DRC, Tanzania imeingia wapi? Sipendi kujiingiza katika vita hiyo ya kudharauliana wakati mimi ni mwumini wa UMOJA NI NGUVU. Unataka tupite wapi?
Samahani mkuu,unasema ukweli uzalendo sometimes inabidi ukomalie kitu hatakama sivyo ndivyo,lakini sikutaka kuishambulia tanzania tatitizo ni kwamba hawa wabongo kunawakati wanaiongea rwanda utafikiri wao ni wa mbinguni ndio maana sometimes inabidi niwakumbushe warudisha akili kwa uzalendo mwingine unageuza watu vipofu.
 
Wanyarwanda ni watu wanao ongea kinyarwanda na wasio ongea kinyarwanda ambao wanauraia wa rwanda.

Pia naomba ufafanuzi wanaongea kinywaranda ni kabila gani? maana hapa usi associate na Rwanda. maana kw maelezo yako kinyarwanda kilikuwepo kabla ya rwanda. Sasa wanaongea kinywaranda ni kabila gani?
 
Hivi Mukasama!! hawa M23 wana madai ya maana kweli? hivi kikitokea kikundi cha watu ndani ya Rwanda wakakalia hapa Gisenyi wakaanzisha serikali yao, wataachwa kweli na Kagame? Nakwambia tena DRC imekuwa na subira sana, waingie TZ waone. Nakumbuka kulizuka Wasomali TZ ilichofanyika hadi leo imebaki historia.

Lakini hata wewe kijana wa Goma unaniuliza hilo swali? Hawa Fdlr wanaua ndugu zao,wanakula n'ombe zao wanaiomba congo iwaondoshe hao FDLR badala yake wanawashirikisha katika jeshi ili wafyeke kitu kinachoitwa mtusi congo sasa wewe unaniuliza kama madai yao yana maana? hata hao unaosema wakija gisenyi na wakiwa na madai yanayo eleweka nafikiri itabidi wasikilizwe kama sivyo lazima wapigane,sasa nikuulize kama chadema ikianzisha kikundi cha kijeshi kupambana na CCM unafikiri watakosa support ya wananchi hakuna kisicho wezekana,umesema M23 kwasababu ni wacongo tena hao wasomali ni kwasababu ni wasomali sio watanzani,please jaribu kuheshimu shida za wengine.
 
Back
Top Bottom